Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Kama ni hivyo huko mtaan tungebaki vimbao mbao tu.Ungekuwa mzur na wowowo lipo ungeolewa,wanawake wanaotembea na waume za watu weng wao ni shapeless,hata huyu lazma atakuwa shapeless,ila mwanaume ndo umemkuta hoppless