Mrejesho: Nimenyimwa kukopeshwa mkate wa buku nikanywe chai na familia yangu

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Toka aninyime kunikopesha mkate naamini kila aliponiona alikosa amani moyoni, maana kusema ukweli alikuwa hana sababu ya msingi kuninyima mkate niipelekee familia ikale, kwasababu hiyo mimi nilitaka tu kumuonyesha kwamba mimi sipo hivo anavo nidhania,

Niliendelea kwenda dukani kwake tena ikawa zaidi na zaidi nilichokuja kugundua ni kwamba amejifunza,

Kwamba umdhaniae kumbe sie
 
Wakopaji wengi wanakuwa matapeli,wakishakopa wanabadilisha duka.huyo jamaa alishapigwa ndo maana alijifunza kwa kujua ndo wale wale
 
Back
Top Bottom