Kwamba ckuiz ukienda kukopa anakupa bila hiana maana kashajifunza?
Arudi Tena kukopa aone kama atakopeshwa Mara hii coz tayari kashakuwa consistent buyerSiku hizi anaenda na cash mkononi na anafanya manunuzi ya maaana. Ndio maana yake
Jamaa wa dukani alicheza na akili yake na akafanikiwa, jiulize jamaa wa dukani anapata faida kiasi gani kutokana na manunuzi ya mtoa mada kumkomoa muuzajiSiku hizi anaenda na cash mkononi na anafanya manunuzi ya maaana. Ndio maana yake
Arudi Tena kukopa aone kama atakopeshwa Mara hii coz tayari kashakuwa consistent buyer
Jamaa wa dukani alicheza na akili yake na akafanikiwa, jiulize jamaa wa dukani anapata faida kiasi gani kutokana na manunuzi ya mtoa mada kumkomoa muuzaji
Thubutu nitamdai Hadi getini mm ndo muuzaji mwenyeweNa ninamshauri akope cha bei kubwa kisha ahame duka [emoji23][emoji23]
Nyie sio wake wa kuoa matafirisi watu kwa ushauri huu πππNa ninamshauri akope cha bei kubwa kisha ahame duka [emoji23][emoji23]
Toka aninyime kunikopesha mkate naamini kila aliponiona alikosa amani moyoni, maana kusema ukweli alikuwa hana sababu ya msingi kuninyima mkate niipelekee familia ikale, kwasababu hiyo mimi nilitaka tu kumuonyesha kwamba mimi sipo hivo anavo nidhania,
Niliendelea kwenda dukani kwake tena ikawa zaidi na zaidi nilichokuja kugundua ni kwamba amejifunza,
Kwamba umdhaniae kumbe sie
Swali lingekaa sawa kama lingekuwa, JE, SIKU HIZI ANAKUKOPESHA?Je anakukopa?