Mrejesho: Nimepata mchumba

Hongera sana bidada.

Naona umempachika mpaka kwenye Avatar.
 
Duuh imekuwa mapema juzi umetangaza Leo umeleta mrejesho umempata na jina juu
Ama kweli ulidhamiria

Hongera yako mkiachana usisahau mrejesho
Aaaaa vibaya hivyo kwahiyo unatuombea tuachane
 
hongera dada..wengine tuna nuks sijui damu ya kunguni..tushaeka matangazo karibia kumi..wanakuja wa ajabuajabu
 
Ungetaja jina analotumia humu jf ili wadada wamheshimu.
 
hongera dada..wengine tuna nuks sijui damu ya kunguni..tushaeka matangazo karibia kumi..wanakuja wa ajabuajabu
Hao hao wa ajabu ndiyo nyota yako waswahili husema ukikosa unapopenda, penda unapopata!!![emoji6] [emoji6] [emoji6]
 
Ungetaja jina analotumia humu jf ili wadada wamheshimu.
Aaah shida yako tu nife kwa pressure,, eti weeee weweee hivyo vijembe nitakavyopigwa si vya nchi hii, we watanirushs roho bure wasije wakajitokeza wengine wakaanza kusema oooh alikuwa hawara yng Mara mzszi mwenzangu Mara imepanda imeshuka hata km sikweli shida yao waniumize tu moyo, sasa nanilivyo na wivu weee naipenda JF sitaki kuiacha....
 
Wakikurusha roho wa kuidaka na kuituliza pia wapo watakupa ushauri humu mpaka utashangaa.

Sema unaonekana una wivu huyo jamaa ajipange...
 
Labda Tutor B awe malaika azime mitandao[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
hahahahhahha, sijaangalia ule uzi wake ulifikisha viewers makumi mangapi, yaani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…