Page 94
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 5,204
- 15,207
Hongera sana bidada.Habari zenu wana MMU nadhani post yangu ya juzi wengi wenu mliisoma , nilikuwa natafuta mpenzi nashukuruni kwa kuwa pamoja na Mimi, na wale ambao walinifuata pm na hawakukidhi vigezo wanisamehee ila nashukuru mpenzi nimepata anaitwa Isaac ahsanteni sana!!!!
Naona umempachika mpaka kwenye Avatar.