Mrejesho: Nimepata mchumba

Mrejesho: Nimepata mchumba

Habari zenu wana MMU nadhani post yangu ya juzi wengi wenu mliisoma , nilikuwa natafuta mpenzi nashukuruni kwa kuwa pamoja na Mimi, na wale ambao walinifuata pm na hawakukidhi vigezo wanisamehee ila nashukuru mpenzi nimepata anaitwa Isaac ahsanteni sana!!!!
Hongera sana bidada.

Naona umempachika mpaka kwenye Avatar.
 
Duuh imekuwa mapema juzi umetangaza Leo umeleta mrejesho umempata na jina juu
Ama kweli ulidhamiria

Hongera yako mkiachana usisahau mrejesho
Aaaaa vibaya hivyo kwahiyo unatuombea tuachane
 
hongera dada..wengine tuna nuks sijui damu ya kunguni..tushaeka matangazo karibia kumi..wanakuja wa ajabuajabu
 
Habari zenu wana MMU nadhani post yangu ya juzi wengi wenu mliisoma , nilikuwa natafuta mpenzi nashukuruni kwa kuwa pamoja na Mimi, na wale ambao walinifuata pm na hawakukidhi vigezo wanisamehee ila nashukuru mpenzi nimepata anaitwa Isaac ahsanteni sana!!!!
Ungetaja jina analotumia humu jf ili wadada wamheshimu.
 
hongera dada..wengine tuna nuks sijui damu ya kunguni..tushaeka matangazo karibia kumi..wanakuja wa ajabuajabu
Hao hao wa ajabu ndiyo nyota yako waswahili husema ukikosa unapopenda, penda unapopata!!![emoji6] [emoji6] [emoji6]
 
Ungetaja jina analotumia humu jf ili wadada wamheshimu.
Aaah shida yako tu nife kwa pressure,, eti weeee weweee hivyo vijembe nitakavyopigwa si vya nchi hii, we watanirushs roho bure wasije wakajitokeza wengine wakaanza kusema oooh alikuwa hawara yng Mara mzszi mwenzangu Mara imepanda imeshuka hata km sikweli shida yao waniumize tu moyo, sasa nanilivyo na wivu weee naipenda JF sitaki kuiacha....
 
Wakikurusha roho wa kuidaka na kuituliza pia wapo watakupa ushauri humu mpaka utashangaa.

Sema unaonekana una wivu huyo jamaa ajipange...
 
Back
Top Bottom