WOLF SEPTICEMIA
Senior Member
- Dec 11, 2017
- 168
- 102
- Thread starter
- #101
Bila izo mambo mkuu mazingira hayakai sawaHaha mule mule tangaza tarehe mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila izo mambo mkuu mazingira hayakai sawaHaha mule mule tangaza tarehe mkuu
Ona sasa mke mwenyewe anamtoto mmezinguana saiv [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bila izo mambo mkuu mazingira hayakai sawa
Jamaa aliokota garasa....Yupo anawayawaya karudi chini ya alipokuwapo. Inasikitisha sanaOna sasa mke mwenyewe anamtoto mmezinguana saiv [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza mwanaume rijali hawezi tafuta mwanamke mtandaoni, kunamabwege wengi sana mtandaoni. Bila shaka jamaa nk domo zege.Jamaa aliokota garasa....Yupo anawayawaya karudi chini ya alipokuwapo. Inasikitisha sana