Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
Asante
Kamati ya vinywaji napendekeza jina langu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante
Serious mkuuKumbe masuala ya kutafta wachumba humu mnakua amtanii
Pm mkuuKamati ya vinywaji napendekeza jina langu mkuu
Serious mkuuKumbe masuala ya kutafta wachumba humu mnakua amtanii
Mimi msaidizi wako!Kamati ya vinywaji napendekeza jina langu mkuu
Mimi msaidizi wako!
Amina..na pledge yangu ni laki moja (I'm serious)Hahah mkuu umetisha, wacha niwakilishe majina kwa mwanaharusi wetu
Mkuu badilisha "heading". Mchumba si mke. Mchumba hana mkataba na wewe.Habari za jioni wakuu,
Napenda kuwashukuru wote kwa maoni na mawazo yenu kwa kile nilichokiandka siku za nyuma kidogo.
Niliandika; Natafuta mwanamke wa kuoa
Niliandika nahitaji mke na kweli, Mungu kanipa kupitia jukwaa hili la JF sasa nafurahia maisha ya uchumba.
Kupitia jukwaa hili nimempata mtu ambaye ana kila sifa ya kuitwa mke na ambaye anajua thamani ya upendo kiukwli mbarikiwe sana wapendwa na Mungu awe nanyi mwaka ujao kuanzia kesho.
Poa poa mkuuAmina..na pledge yangu ni laki moja (I'm serious)
Asante kwa taarifa mkuu ila michakato yote nimefanya na sasa nipo kwa bus from moshi kwa ajili hiyo mkuuMkuu badilisha "heading". Mchumba si mke. Mchumba hana mkataba na wewe.
Sema unashukuru kupata mchumba na huenda msifikie malengo tarajiwa, maana kuna michakato mingi kabla ya kufikia ndoa.
"Sio huyo dada wa watu plz"Mkuu sio huyo dada wa watu jamani plz
Mkuu shima na konyagi zitakuwepo piaKamati ya vinywaji napendekeza jina langu mkuu
hongera sana mkuuHabari za jioni wakuu,
Napenda kuwashukuru wote kwa maoni na mawazo yenu kwa kile nilichokiandka siku za nyuma kidogo.
Niliandika; Natafuta mwanamke wa kuoa
Niliandika nahitaji mke na kweli, Mungu kanipa kupitia jukwaa hili la JF sasa nafurahia maisha ya uchumba.
Kupitia jukwaa hili nimempata mtu ambaye ana kila sifa ya kuitwa mke na ambaye anajua thamani ya upendo kiukwli mbarikiwe sana wapendwa na Mungu awe nanyi mwaka ujao kuanzia kesho.
Mkuu shima na konyagi zitakuwepo pia
Tulia ivyo ivyo mkuu"Sio huyo dada wa watu plz"
I smell something here!!!!
Mkuu shima na konyagi zitakuwepo pia