Mrejesho: Nimepata mke kupitia jukwaa hili la Love Connect

Mrejesho: Nimepata mke kupitia jukwaa hili la Love Connect

Hat mimi naishukuru jf nimepata mke humuhumu leo ni siku ya 3 tupo honeymoon.Ni mrembo wa haja
0bf85eba777d9edb9fbecf8c0d9678f4.jpg
 
Napendezeshwa na taarifa kama hizi za kutangaza nia ya dhati na kweli.

Ngoja nivute subira ipo siku yangu pia.

Hongera sana kijana
 
Back
Top Bottom