Mrejesho: Nimepata mke kupitia jukwaa hili la Love Connect

bad75a72cc130aa6e10f23f21835e593.jpg
Ha ha ha ha
 
Habari za jioni wakuu,

Napenda kuwashukuru wote kwa maoni na mawazo yenu kwa kile nilichokiandka siku za nyuma kidogo.

Niliandika; Natafuta mwanamke wa kuoa

Niliandika nahitaji mke na kweli, Mungu kanipa kupitia jukwaa hili la JF sasa nafurahia maisha ya uchumba.

Kupitia jukwaa hili nimempata mtu ambaye ana kila sifa ya kuitwa mke na ambaye anajua thamani ya upendo kiukwli mbarikiwe sana wapendwa na Mungu awe nanyi mwaka ujao kuanzia kesho.
Hongera sana
 
Harusi lini na wapi?

Back
Top Bottom