Mrejesho: Nimepata mke tayari, nashukuru wote mlionitafuta

Mrejesho: Nimepata mke tayari, nashukuru wote mlionitafuta

john issa

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
856
Reaction score
1,638
Naomba nitoe shukrani zangu za dhati JamiiForums kunipatia mchumba,

Pia, sio kwamba wewe hustahili kuwa mke wangu kama sijakupa kipaumbele, la hasha ni vile nilikuwa nataka mmoja tu!

Wengine tunaweza kushirikiana katika biashara zingine, tu na zikaenda kwa uzuri.

Mazao, ng'ombe, cosmetics, vitenge, sukari,

Niko mpakani,

Naahidi, kumpenda shemeji yenu.

AHSANTE

Pia soma: Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto
 
We endelea kumpata TU yakikufika urudi tena hapa hapa uje ufungue uzi mwingine, yana Mwisho mwanzo hua mtamu katikati pachungu Mwisho hapafai, all the best usisahau kuleta mrejesho mwingine sio unaingia mitini
kwan umekasirika mkuu
 
Haina shida tunajua baada ya mwaka utariudi na uzi wenye kichwa ''mwanamke niliyempata JamiiForums ananitesa, msaada''
kwan mtu ya jf hauko poa

navomwona, ata akinisumbua, basi ningempata kwingine ingekuwa the same
 
Back
Top Bottom