Mrejesho: Nimepata mke tayari, nashukuru wote mlionitafuta

Ila tunakuaga negative sana dah almost kama hatutaki watu wafanikiwe na mahusiano yao, utaskia mtaachana tu, ipe miezi 6 atarudi, mara subiri kitu kizito kichwani

Asilimia kubwa wanapelekwa puta na mapenz au upweke wa kukosa mwenza bas mapovu kwa kila mtu anaetoa report kapata kifaa chake anakula raha

Tuache wivu, roho mbaya inazaa uchawi.
 
Najiunga na wale wanaokaaga siti ya mbele
 

Aliyetafuta mke (jana) anajiita NIMEONA .
Aliyepata mke (leo) anaitwa john issa .

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…