BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
hivi we mama unajua ushaanza kuzeeka?dalili kuu ya kuanza kuzeeka ni kupenda kuchunguza kama ulichoambiwa ni kweli au lah!!!yaani wewe siku hizi kazi yako kuu ni kuchunguza thread za chai na kahawa kutwa kuchwa!!!
wenzako thread za chai tunazifurahia kichizi,thread ikinyooka inatukera tunaona bora tushinde kulekule jukwaa la siasa!dont be too serious mama life is easy
Hahahahaaaa
Haya bana....
Inabidi tu kuzinywa hizo chai na kahawa...hata kama ni chungu
Hapa nipo IFAKARA nawaza naanzaje kuondoka napita wapi na BAJA Langu A.K.A ndama
Uongo mtakatifu na kufurahisha jamviMmehabarikaje Wandugu,
Nimerudi niliandika uzi kuomba uzoefu kwa waliozoea kusafiri kupitia Mbuga ya mikumi na mimi nilikuwa nataka kupita na Mwanandama wangu.
Niliondoka Moro saa 8 kwa speed ya MOTOCHINI 150 nilifika saa 9:30.Safari inaendelea nimefika Mwanzo wa mbuga naona amani tu, nimepata kujionea swala makundi kwa makundi, pundamilia na twiga kwa mbali huku tembo nao wakiendelea kutembea kwa kujigamba.
Safari inaendeleaa...., wakati bado nipo katikati ya mbuga ghafla kwenye kichaka nasikia kinatikisika ghafla simba kama watano wanatoka wakiwa wa damu mdomoni wakawa wananitizama watatu wakaunguruma huku wanafata usawa wangu nilichofanya ni kuongeza speed 180 kwani BAJA haina kujali BAMPS, wakatrot kidogo wakarudi zao, mbele kidogo mita 200 kwenye mti mkubwa namuona chui akiwa na swala kwenye mti.
Viumbe walionitisha ni Nyati waliopita kwa makundi kuvuka barabara, ilibidi nisisimame bali nirudi nilipotoka hadi nilipoona wamepita wote ndio nikapita speed 120, walirudi baadhi kunifukuzia lakini kwa kuwa wote mnamwelewa ndama alivyo.
Nilitaka kuzimia nimekutana na simba wawili mbele kulia na kushoto wawili katikati wameacha nafasi, nilichofanya ni kuwapita kama mwewe au kipanga hao nduli kwani wote mnajua mziki wao ulivyo.
USHAURI: Jamani ndugu zanguni, hapo mbugani sio pa kupita jioni wala usiku, mimi nimepita jioni mengi niliyoyaona sipiti tena, bora nipakie pikipiki kwenye lori, mnaotaka picha ni ngumu kupata labda ningekuwa nipo na wewe ukashuka kunipiga picha zingetokea vizuri.
HEBU TUAMBIE NA WEWE YALIYOKUKUTA, MIMI NILIPATA PRESSURE SIKU 3
NikweliYaani unapita speed 150 na unaweza kuona simba ana damu mdomoni!!
Halafu ni nadra sana kuona wanyama hao wote ukiwa unapita Mikumi.
Ila poa tu ngoja tumeze!!
Nimepita Mikumi zaidi ya mara moja kwakweli siogopi kupita tena na tena. However huwa napita wakati wa jua kali.Mmehabarikaje Wandugu,