Mrejesho: Nimesafiri na BAJA 250 XLR kupitia mbuga ya Mikumi, kwa niliyoyaona sipiti tena

Mmehabarikaje Wandugu ,
nimerud niliandika uzi kuomba uzoefu kwa waliozoea kusafiri kupitia Mbuga ya mikumi na mm nilikuwa natska kupita na Mwanandama wangu ,
niliondoka Moro saa 8 kwa speed ya MOTOCHINI 150 nilifika saa 9:30
safar inaendelea nimefika Mwanzo wa mbuga naona amani tu ,nimepata kujionea swala makundi kwa makundi,pundamilia na twiga kwa mbali huku tembo nao wakiendelea kutembea kwa kujigamba
safari inaendeleaa....,. wakati bado nipo katikati ya mbuga ghafla kwenye kichaka nasikia kinatikisika ghafla simba kama watano wanatoka wakiwa wa damu mdomoni wakawa wananitizama watatu wakaunguruma huku wanafata usawa wangu nilichofanya nikuongeza speed 180 kwan BAJA haina kujali BAMPS,wakatrot kidogo wakarud zao,mbele kidogo mita 200 kwenye mti mkubwa namuona chui akiwa na swala kwenye mti,
viumbe walionitisha ni Nyati waliopita kwa makundi kuvuka barabara ilibid nisisimame bali nirud nilipotoka hadi nilipoona wamepita wote ndio nikapita speed 120 lakin walirud baadhi kunifukuzia lkn kwa kua wote mnamwelewa ndama alivyo ,nilitaka kuzimia nimekutana na simba wawili mbele kulia na kushoto wawili katikati wameacha nafas nilichofanya nikuwapita kama mwewe au kipanga hao nduli kwan wote mnajua mziki wao ulivyo
USHAURI:Jaman ndugu zangun hapo mbugani sio pa kupita jion wala usiku,mm nimepita jioni mengi niliyoyaona sipiti tena bora nipakie pikipiki kwenye lori ,mnaotaka picha ni ngumu kupata labda ningekua nipo na wewe ukashuka kunipiga picha zingetokea vizuri
HEBU TUAMBIE NA WEWE YALIYOKUKUTA MM NILIPATA PRESSURE SIKU 3
Utakuwa ni mtu mwenye bahati kuona wanyama wote hao kwenye mbuga ya mikumi. mimi nimeshapita kwenye mbuga hiyo karibu mara ishirini, mchana jioni hata usiku wanyama nilioona tena kwa kujiona kuwa nina bahati ni swala, twiga na tembo. Zamani kidogo nilishawahi kuona viboko kadhaa kwenye dimbwi fulani hivi ila mbuga hiyo ya mikumi kwa anayepita barabarani kuona simba au chui nadhani anafaa kuingia kwenye orodha ya watu wenye bahati. kwa mbuga kama serengeti na manyara sio tatizo.
 
Mmehabarikaje Wandugu ,
nimerud niliandika uzi kuomba uzoefu kwa waliozoea kusafiri kupitia Mbuga ya mikumi na mm nilikuwa natska kupita na Mwanandama wangu ,
niliondoka Moro saa 8 kwa speed ya MOTOCHINI 150 nilifika saa 9:30
safar inaendelea nimefika Mwanzo wa mbuga naona amani tu ,nimepata kujionea swala makundi kwa makundi,pundamilia na twiga kwa mbali huku tembo nao wakiendelea kutembea kwa kujigamba
safari inaendeleaa....,. wakati bado nipo katikati ya mbuga ghafla kwenye kichaka nasikia kinatikisika ghafla simba kama watano wanatoka wakiwa wa damu mdomoni wakawa wananitizama watatu wakaunguruma huku wanafata usawa wangu nilichofanya nikuongeza speed 180 kwan BAJA haina kujali BAMPS,wakatrot kidogo wakarud zao,mbele kidogo mita 200 kwenye mti mkubwa namuona chui akiwa na swala kwenye mti,
viumbe walionitisha ni Nyati waliopita kwa makundi kuvuka barabara ilibid nisisimame bali nirud nilipotoka hadi nilipoona wamepita wote ndio nikapita speed 120 lakin walirud baadhi kunifukuzia lkn kwa kua wote mnamwelewa ndama alivyo ,nilitaka kuzimia nimekutana na simba wawili mbele kulia na kushoto wawili katikati wameacha nafas nilichofanya nikuwapita kama mwewe au kipanga hao nduli kwan wote mnajua mziki wao ulivyo
USHAURI:Jaman ndugu zangun hapo mbugani sio pa kupita jion wala usiku,mm nimepita jioni mengi niliyoyaona sipiti tena bora nipakie pikipiki kwenye lori ,mnaotaka picha ni ngumu kupata labda ningekua nipo na wewe ukashuka kunipiga picha zingetokea vizuri
HEBU TUAMBIE NA WEWE YALIYOKUKUTA MM NILIPATA PRESSURE SIKU 3

Mkuu! Inawezekanaje uwe katika 150km/h kwenye pikipiki, umevaa helmet na uweze kusikia kichaka kinatikisika? Ni kichaka kikubwa kiasi gani na huo mtikisiko ulikuwa na kelele kiasi cha kuuzidi muungurumo wa pikipiki na upepo unaovuma!
Nina mashaka na hii stori yako
 
Mmehabarikaje Wandugu ,
nimerud niliandika uzi kuomba uzoefu kwa waliozoea kusafiri kupitia Mbuga ya mikumi na mm nilikuwa natska kupita na Mwanandama wangu ,
niliondoka Moro saa 8 kwa speed ya MOTOCHINI 150 nilifika saa 9:30
safar inaendelea nimefika Mwanzo wa mbuga naona amani tu ,nimepata kujionea swala makundi kwa makundi,pundamilia na twiga kwa mbali huku tembo nao wakiendelea kutembea kwa kujigamba
safari inaendeleaa....,. wakati bado nipo katikati ya mbuga ghafla kwenye kichaka nasikia kinatikisika ghafla simba kama watano wanatoka wakiwa wa damu mdomoni wakawa wananitizama watatu wakaunguruma huku wanafata usawa wangu nilichofanya nikuongeza speed 180 kwan BAJA haina kujali BAMPS,wakatrot kidogo wakarud zao,mbele kidogo mita 200 kwenye mti mkubwa namuona chui akiwa na swala kwenye mti,
viumbe walionitisha ni Nyati waliopita kwa makundi kuvuka barabara ilibid nisisimame bali nirud nilipotoka hadi nilipoona wamepita wote ndio nikapita speed 120 lakin walirud baadhi kunifukuzia lkn kwa kua wote mnamwelewa ndama alivyo ,nilitaka kuzimia nimekutana na simba wawili mbele kulia na kushoto wawili katikati wameacha nafas nilichofanya nikuwapita kama mwewe au kipanga hao nduli kwan wote mnajua mziki wao ulivyo
USHAURI:Jaman ndugu zangun hapo mbugani sio pa kupita jion wala usiku,mm nimepita jioni mengi niliyoyaona sipiti tena bora nipakie pikipiki kwenye lori ,mnaotaka picha ni ngumu kupata labda ningekua nipo na wewe ukashuka kunipiga picha zingetokea vizuri
HEBU TUAMBIE NA WEWE YALIYOKUKUTA MM NILIPATA PRESSURE SIKU 3
teh teh teh..karibu univunje mbavu kwa kucheka mkuu. usije fanya kosa hilo tena kupita mikumi na tukutuku utakua kitoweo
 
we jamaa ni muongo sijapa ona mimi naijua mbuga ya mikumi vizuri ni nadra tena nadra sana tena sana kupita kiasi kukuta na simba barabarani na most simba wanavuka barabara saa moja moja au mbili na alfajili, pili chui wa mikumi wapo juu kabisa kule kwenye miyombo coz ya kuwainda kirahisi.
sasa huo upuuzi unao tueleza hapa tafuta wengine wa kuwaongopea.

unapo danganya watu wazima tunao ijua hiyo mbuga nnje ndani uwe makini na details zako.

Mmehabarikaje Wandugu,

Nimerudi niliandika uzi kuomba uzoefu kwa waliozoea kusafiri kupitia Mbuga ya mikumi na mimi nilikuwa nataka kupita na Mwanandama wangu.

Niliondoka Moro saa 8 kwa speed ya MOTOCHINI 150 nilifika saa 9:30.Safari inaendelea nimefika Mwanzo wa mbuga naona amani tu, nimepata kujionea swala makundi kwa makundi, pundamilia na twiga kwa mbali huku tembo nao wakiendelea kutembea kwa kujigamba.

Safari inaendeleaa...., wakati bado nipo katikati ya mbuga ghafla kwenye kichaka nasikia kinatikisika ghafla simba kama watano wanatoka wakiwa wa damu mdomoni wakawa wananitizama watatu wakaunguruma huku wanafata usawa wangu nilichofanya nikuongeza speed 180 kwan BAJA haina kujali BAMPS,wakatrot kidogo wakarudi zao,mbele kidogo mita 200 kwenye mti mkubwa namuona chui akiwa na swala kwenye mti.

Viumbe walionitisha ni Nyati waliopita kwa makundi kuvuka barabara ilibidi nisisimame bali nirudi nilipotoka hadi nilipoona wamepita wote ndio nikapita speed 120 lakini walirudi baadhi kunifukuzia lakini kwa kuwa wote mnamwelewa ndama alivyo.

Nilitaka kuzimia nimekutana na simba wawili mbele kulia na kushoto wawili katikati wameacha nafasi nilichofanya nikuwapita kama mwewe au kipanga hao nduli kwani wote mnajua mziki wao ulivyo.

USHAURI: Jamani ndugu zanguni, hapo mbugani sio pa kupita jioni wala usiku,mimi nimepita jioni mengi niliyoyaona sipiti tena bora nipakie pikipiki kwenye lori,mnaotaka picha ni ngumu kupata labda ningekuwa nipo na wewe ukashuka kunipiga picha zingetokea vizuri.

HEBU TUAMBIE NA WEWE YALIYOKUKUTA MM NILIPATA PRESSURE SIKU 3
 
Hayajawakuta tu wandugu mm nimepita saa 11kama na 30 ni hatari unaweza kuzimia kweny pikipiki
 
mbona kama ni hadithi ambazo tulikuwa tunasoma na kusimuliwa kutoka katka kitabu cha wagagagigikoko enzi za shule ya msingi?
 
Hahahah we jamaa umetunywesha chai walahi.....

Mikumi hii hii???

hivi we mama unajua ushaanza kuzeeka?dalili kuu ya kuanza kuzeeka ni kupenda kuchunguza kama ulichoambiwa ni kweli au lah!!!yaani wewe siku hizi kazi yako kuu ni kuchunguza thread za chai na kahawa kutwa kuchwa!!!

wenzako thread za chai tunazifurahia kichizi,thread ikinyooka inatukera tunaona bora tushinde kulekule jukwaa la siasa!dont be too serious mama life is easy
 
Fat_Man_and_Tiny_Bike_ytqdk_Pak101%28dot%29com.jpg

#JITU LA MIRABA MINNE
 
Back
Top Bottom