Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Okay! Kwa form 2 ni mtu anayejielewa (nakadiria umri 15-17).tokea akiwa form two sasa hivi yuko form three ni mwaka sasa
Nivigumu kushawishiwa kwa maneno tu. Michezo hii kwa wengi ambao wanaianzia ukubwani,huwa wanaanza kwa kuangalia pornography wakiwa group (2 or more people).
Muulize kama yeye ni mpenzi wa kuangalia hizo video (ziwe za jinsia tofauti au jinsia moja).
Kama alikuwa anaangalia,mzuie kuendelea kwa kumwambia negative effect zake. Kama anashindwa kujizuia,basi deny him access ya internet or futa zote alizonazo katika simu.
Maana kama ameshafanya kwa mwaka mzima,na anazo hizo video basi anaweza hata akawa anajihudumia mwenyewe pindi akibanwa.
Tafuta mtaalamu wa saikolojia atakayeweza kuongea nae kwa upole na upendo ( maana ww au ndugu mwingine atakuwa anawaogopa).
Msioneshe kumtenga au kukata tamaa juu yake. Upendo toka kwa watu waliokaribu na ww siku zote husaidia kurudisha furaha kwa victim.