cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
MmmhNi pm namba yake nikusaidie kumrekebisha..
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmhNi pm namba yake nikusaidie kumrekebisha..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kule mombasa kuna mzee alichoshwa na kijana wake kwa tabia za kichoko ilifikia dogo anapaka had lipstic.mzee akaamua amkamate amfunge kamba kisha amtie ndizi ya moto kwenye kabang ile wakati ndo amwekee ndizi akapita mzee basha akamwambie yakhe usiichome kabang hiyo wenzio huwa twala mbichi
Barikiwa sana, ushauri mzurii kabisa huu.Pole sana ndugu yangu huu ni mtihani kwako, kwa ndogo wako na kwa familia yenu kwa ujumla..Nafahamu kwa sasa ni schock kwako lakini siku zitakavyokuwa zinasonga mbele utazoea na kuwaza bila jazba wala chuki jinsi ya kumsaidia ndugu yako katika tatizo hilo.
Ninavyofahamu kuna mashoga wa aina tatu au zaidi:
Kwanza ni mashoga wa kuzaliwa hawa ni watu wenye hormonies nyingi za kike kuliko za kiume, mara nyingi hawa watu wa hivi uanza tabia za kike wakiwa bado wadogo kama kupenda kuvaa nguo za kike, kupenda kujipamba, kucheza sana na watoto wa kike kuliko wa kiume na nk..Kama mdogo wako yuko katika hili group kumtoa huko si rahisi maana ndivyo alivyoumbwa na si kosa lake. Mtu wa namna hii kama familia inabidi mmkubali jinsi alivyo maana mateso yanayopata katika jamii yanatosha hivyo anahitaji msaada wenu ili aweze kuishi walau kwa furaha kwa kipindi kifupi hiki tunachoishi.
Aina ya pili ni mashoga kwa ajiri ya tamaa labda maisha anayoishi hajaridhika nayo hivyo anataka kupata pesa nyingi kw njia ya mkato.Mashonga wa namna hii wanaweza kuondoka na ushoga pale utakapo kaa naye na kumshauri kwa upendo/ukali au kwa aina yoyote utakayo ona inavaa. Pia kujaribu kumbana kama ulivyosema hapo juu na ikibidi kuhama hapo na kwenda mbali pamoja na kukata contact za marafiki zake wote alionao, Pia ni muhimu kumfanyia counselling.
Wa tatu ni wale wenye bad experince katika maisha yao ya utotoni, kwambaa labda hapo nyumbani baba alikuwa katiri sana kwake yeye au kwa mama yake au familia kwa ujumla, au kuna mtu alikuw anam "sexual abuse" bila familia kufahamu hivyo basi vitu vya namna hii vinamfanya hataki kuwa mfano wao au kuvaa uhusika wao hivyo kwake yeye ni bora awe shoga/mwanamke kuliko kuvaa uwanaume ambao unamfanya akumbuke mateso ya utoto.
Cha muhimu kaa naye kwa upendo jaribu kumdadisi ili ufahamu ni nini hasa kimemfanya yeye awe shoga..Pia baada ya hapo ni bora kuongea na wazazi/familia lakini kama familia yenu ni wamoja na wasiri ili wote kwa pamoja muweze kumsaidia maana peke yako si dhani kama utaweza.Cha muhimu ni kumuangalia huyu mdogo wenu kama ndugu yenu si shoga, kumpa mapenzi kama kaka maana alichokifanya ingawaje hakikubaliki katika jamii lakini bado anabaki kuwa ndugu yenu, damu yenu na binadamu mwenzenu na binadamu tunafanya makosa muhimu ni kuona makosa yako na kujirekebisha..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahAtaendelea kufaid maana umebana kote ukamwamini yeye tyu. Watoto wengi huharibikia shuleni.
Kuna dogo alikuwa amasoma 4m4 alimtongoza mwl mwenzangu akidai anatokea tanga xo atamfumua rinda lake vizuri.
Chalii akamtongoza pia jamaa angu mwingine ambae alimaliza xul hiyo ila alkuwa chuo. Jamaa alinituma nimpe dogo onyo kali.
Tuwe makini na yanayoendelea mashuleni maana ni hatar sana.
Mna fikra potofu sana. DoohMbane hivyo hivyo hadi amalize form 4 then fanya kila uwezalo aende jeshi akimaliza akae huko kambi za malez hata miaka miwili akitoka huko hiyo tabia itakuwa imekufa
wana JF leo nimeona nilete marejesho
Nasikitika sana kuwa mdogo wangu anajihusisha na mambo ya kishoga yaani mdogo wangu mimi ni shoga daaaah naumia sana nilifanya uchunguzi wa kina nikagundua anafanya na nimemuuliza akanambia ni kweli ila baada ya kumnasa sana vibao na ngumi nyingi.Na kaniomba sana nisimwambie mtu yeyote yule ata bro wangu mkubwa ila lazima nimwambie father na mother na broh nina mengi saaaana ya kueleza ila haya yanatosha sitaki kuwachosha. Nimempiga saaana tena saana .
Nilichoamua mimi kaka yake ambae ndo namsomesha na ndo naishi nae
kuwa nitampeleka hosptali wakamsafishe wakamtoe uchafu wote yaani apigwa bomba
shuleni nitakua nampeleka mimi kila siku na kwenda kumchukua mimi wakati akitoka ata kama ntachelewa job ntamwambia mwalimu wake ahakikishe mda wote yuko shuleni na vipindi vyote ahudhurie akikosa kipindi anambie nimnyooshe na nitakua namlipa mwalimu hela kwa ajli ya kumchunga. shule yao nia day na bweni so ni rahisi kukaa mpka join wakati nkitoka job.
Nyumbani ni marufuku kutoka kwenda popote labda nitoke nae mimi la sivyo atakaa nyumbani bila kutoka hyo kazi nimempa mlinzi
naomba ushauri wako kuhusu huyo dogo .Ushauri wako ni muhimu sana kwangu
AKHSANT
Uongo huu.Mpeleke pia Kanisani akaombewe, wengi wamesaidika... Ila anatakiwa aamue mwenyewe.
Huyo mjinga usimuache shitaki tia ndani yaani kama Kuna uwezekano broo. Usiliache lipite hii itakuuma Hadi unaingia kaburini haijarishi ataacha au laa Tena akiendelea nakuhakikishia wewe ndio utateseka zaidi na hatua.kashanambia jamaa ambae anamfanyi huo mchzo na nataka nimfute niongee nae nimwambie kwa nini unamuharibu mdogo wangu ikibidi nimfunge au nimtaftie kesi aende jela naumia sana
Inawekana pia akawa anamlipa mwalimu kumchunga kumbe ndo fisi mwenyewe kapewa kuchunga bucha na malipo juuDuh pole sana, muulize pia kajifunzia wapi usikute unakaba shule kumbe muharibifu yupo nyumbani
Zingatia neno zamani tafadhali
Nasikia maumivu makali aise.wana JF leo nimeona nilete marejesho
Nasikitika sana kuwa mdogo wangu anajihusisha na mambo ya kishoga yaani mdogo wangu mimi ni shoga daaaah naumia sana nilifanya uchunguzi wa kina nikagundua anafanya na nimemuuliza akanambia ni kweli ila baada ya kumnasa sana vibao na ngumi nyingi.Na kaniomba sana nisimwambie mtu yeyote yule ata bro wangu mkubwa ila lazima nimwambie father na mother na broh nina mengi saaaana ya kueleza ila haya yanatosha sitaki kuwachosha. Nimempiga saaana tena saana .
Nilichoamua mimi kaka yake ambae ndo namsomesha na ndo naishi nae
kuwa nitampeleka hosptali wakamsafishe wakamtoe uchafu wote yaani apigwa bomba
shuleni nitakua nampeleka mimi kila siku na kwenda kumchukua mimi wakati akitoka ata kama ntachelewa job ntamwambia mwalimu wake ahakikishe mda wote yuko shuleni na vipindi vyote ahudhurie akikosa kipindi anambie nimnyooshe na nitakua namlipa mwalimu hela kwa ajli ya kumchunga. shule yao nia day na bweni so ni rahisi kukaa mpka join wakati nkitoka job.
Nyumbani ni marufuku kutoka kwenda popote labda nitoke nae mimi la sivyo atakaa nyumbani bila kutoka hyo kazi nimempa mlinzi
naomba ushauri wako kuhusu huyo dogo .Ushauri wako ni muhimu sana kwangu
AKHSANTE
Kwani zamani hakukua na mashoga?Zingatia neno zamani tafadhali

Nilipokua primary kaka yangu aliyenizidi drasa moja alikua na marafiki zake wakiume wawili.
- hospital wanasafisha nini ? (Misconception)
- Kama unammudu wewe as a big brother, usiwaambie wazazi wako, unless pale atakapokuwa ameshindikana
- usimchukulie kama mhalifu, mpeleke kupata msaada wa kiroho/kiimani na psychosocial couselling
- peleleza kwa kina mazingira yaliyompelekea kuwa shoga.
Pole mkuuuwana JF leo nimeona nilete marejesho
Nasikitika sana kuwa mdogo wangu anajihusisha na mambo ya kishoga yaani mdogo wangu mimi ni shoga daaaah naumia sana nilifanya uchunguzi wa kina nikagundua anafanya na nimemuuliza akanambia ni kweli ila baada ya kumnasa sana vibao na ngumi nyingi.Na kaniomba sana nisimwambie mtu yeyote yule ata bro wangu mkubwa ila lazima nimwambie father na mother na broh nina mengi saaaana ya kueleza ila haya yanatosha sitaki kuwachosha. Nimempiga saaana tena saana .
Nilichoamua mimi kaka yake ambae ndo namsomesha na ndo naishi nae
kuwa nitampeleka hosptali wakamsafishe wakamtoe uchafu wote yaani apigwa bomba
shuleni nitakua nampeleka mimi kila siku na kwenda kumchukua mimi wakati akitoka ata kama ntachelewa job ntamwambia mwalimu wake ahakikishe mda wote yuko shuleni na vipindi vyote ahudhurie akikosa kipindi anambie nimnyooshe na nitakua namlipa mwalimu hela kwa ajli ya kumchunga. shule yao nia day na bweni so ni rahisi kukaa mpka join wakati nkitoka job.
Nyumbani ni marufuku kutoka kwenda popote labda nitoke nae mimi la sivyo atakaa nyumbani bila kutoka hyo kazi nimempa mlinzi
naomba ushauri wako kuhusu huyo dogo .Ushauri wako ni muhimu sana kwangu
AKHSANTE
Huenda wangemsaidia pale ulipowaambia. Ila ndo basi tena mambo ya wazazi kuona watoto wao ni saints 😥Nilipokua primary kaka yangu aliyenizidi drasa moja alikua na marafiki zake wakiume wawili.
Kila tukiwa tunarudi nyumbani kuna sehemu kuna vichaka walikua wananiachia mabegi yao halafu wanaingia mule wanazugazuga.
Nilikua mdogo na sikua najua habari za ushoga zaidi ya kusikia lakini nilihisi wanafanyiana mchezo mbaya.
Nikaenda nyumbani kusema, hawakuniamini wakanipiga eti namsingizia kaka yangu ushoga. Hawakuamini kama mtoto wa shule ya msingi anaweza kufanya michezo hiyo.
Sasa hivi kaka yangu hayupo nyumbani aliondoka baada ya kushindwana na wazazi, walikuja kujua anajihusisha na vitendo hivyo baada ya kuitwa shule na mwalimu mkuu baada ya kuchomwa na wanaume wenzao bwenini.