Mrejesho: Nina wasiwasi na huyu dogo

tokea akiwa form two sasa hivi yuko form three ni mwaka sasa
Okay! Kwa form 2 ni mtu anayejielewa (nakadiria umri 15-17).

Nivigumu kushawishiwa kwa maneno tu. Michezo hii kwa wengi ambao wanaianzia ukubwani,huwa wanaanza kwa kuangalia pornography wakiwa group (2 or more people).

Muulize kama yeye ni mpenzi wa kuangalia hizo video (ziwe za jinsia tofauti au jinsia moja).

Kama alikuwa anaangalia,mzuie kuendelea kwa kumwambia negative effect zake. Kama anashindwa kujizuia,basi deny him access ya internet or futa zote alizonazo katika simu.

Maana kama ameshafanya kwa mwaka mzima,na anazo hizo video basi anaweza hata akawa anajihudumia mwenyewe pindi akibanwa.

Tafuta mtaalamu wa saikolojia atakayeweza kuongea nae kwa upole na upendo ( maana ww au ndugu mwingine atakuwa anawaogopa).

Msioneshe kumtenga au kukata tamaa juu yake. Upendo toka kwa watu waliokaribu na ww siku zote husaidia kurudisha furaha kwa victim.
 
tokea akiwa form two sasa hivi yuko form three ni mwaka sasa
Alafu pia kuhusu jamaa anayehusika na kumuingilia huyo mdogo wako,nidhahiri alilofanya ni kosa kubwa. Mfatilie,pia hakikisha sheria inasimamia ili swala mpaka mwisho.
 
angekuwa mdogo wangu angekuwa ICU saizi, pole mkuu umetunia busara.

usisahau kumpeleka kwa wataalamu wampe ushauri wa kiakili, ajue madhara ya huo ujinga.
 
Mbane hivyo hivyo hadi amalize form 4 then fanya kila uwezalo aende jeshi akimaliza akae huko kambi za malez hata miaka miwili akitoka huko hiyo tabia itakuwa imekufa
 
Pole sana brother !!Haya mambo SAA izi ni janga la taifa!!na sio moja tu ila la dunia!! Ni ngumu kueleza jinsi ya kumsaidia moja kwa moja ingawa wapo wanaoweza kuacha na wapo wanaoshindwa kutoka vile vile!! Kama ingewezekana apate psychotherapy na close monitoring!!na inategemea na stage aliyofikia !!ufumbuz sio kumbana kwa ratiba tu ila ni kuona jinsi ya kutatua tatizo na kujua alianzaje,anajisikiaje na kumpiga ilo bomba!! Inakua rahisi sana kama nayeye kutoka moyoni anataka kubadilika na ikiwezekana ajisogeze machoni pa mungu!! Maana kwene bible sikumbuki ni wap ila inasema MTU akijiweka mbali nae tamaa yake ya uovu huongezeka Mara dufu
 
Pole sana.
Pia usisahau kwa wanasaikoijia na watoa ushauri ni muhimu kwake
 
mkuu huyo hawezi kuacha sana sana atakuja kukutia aibu zaidi huko mbele safari.....mti kwenye gari washa gari endesha mpeleke mpakani mwa kigoma na Kongo akiwa hana hata shillings mfukoni alafu muache huko huko wewe rudi uendelee na maisha yako
Akiwa wako utafanya ivo ebu fikiria yule DOGO wako kama ndo imekua hivo utamfanyia hivo!! Kuvaa kiatu cha jamaa n ngumu
 
We ungefanyajr
 
Umeshapa ukweli ni kuda wa kuwa naye karibu ili uweze kumsaidia kwa kumweleza madhara ya jambo hilo na akuone rafiki ikiwezekana umpeleke kwa wataalamu kwa msaada zaidi
 
Pole sana mkuu
 
Kuna vitu nyie mnachanganyaa, nweiii umeshauri vizuri.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Mpeleke pia Kanisani akaombewe, wengi wamesaidika... Ila anatakiwa aamue mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…