Mrejesho: Nina wasiwasi na huyu dogo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Barikiwa sana, ushauri mzurii kabisa huu.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana.

Yote haya wameyaleta DEMOCRATIC. mpambanie dogo mungu atakulipa kwa moyo wako.

Dah aisee
 
kashanambia jamaa ambae anamfanyi huo mchzo na nataka nimfute niongee nae nimwambie kwa nini unamuharibu mdogo wangu ikibidi nimfunge au nimtaftie kesi aende jela naumia sana
Huyo mjinga usimuache shitaki tia ndani yaani kama Kuna uwezekano broo. Usiliache lipite hii itakuuma Hadi unaingia kaburini haijarishi ataacha au laa Tena akiendelea nakuhakikishia wewe ndio utateseka zaidi na hatua.
 
Wala usijisumbue mwache tu coz utambana shuleni ila madogo wa shule wanampelekea moto chooni so hautasaidia jambo, mpeleke hospitali 1. Akaanze supplement
2. Mpeleke kwa mshauri nasaha
 
Nasikia maumivu makali aise.
Pole sana mkuu jitiada zako Mungu atazisimamia.
 
  1. hospital wanasafisha nini ? (Misconception)
  2. Kama unammudu wewe as a big brother, usiwaambie wazazi wako, unless pale atakapokuwa ameshindikana
  3. usimchukulie kama mhalifu, mpeleke kupata msaada wa kiroho/kiimani na psychosocial couselling
  4. peleleza kwa kina mazingira yaliyompelekea kuwa shoga.
 
Nilipokua primary kaka yangu aliyenizidi drasa moja alikua na marafiki zake wakiume wawili.

Kila tukiwa tunarudi nyumbani kuna sehemu kuna vichaka walikua wananiachia mabegi yao halafu wanaingia mule wanazugazuga.

Nilikua mdogo na sikua najua habari za ushoga zaidi ya kusikia lakini nilihisi wanafanyiana mchezo mbaya.

Nikaenda nyumbani kusema, hawakuniamini wakanipiga eti namsingizia kaka yangu ushoga. Hawakuamini kama mtoto wa shule ya msingi anaweza kufanya michezo hiyo.

Sasa hivi kaka yangu hayupo nyumbani aliondoka baada ya kushindwana na wazazi, walikuja kujua anajihusisha na vitendo hivyo baada ya kuitwa shule na mwalimu mkuu baada ya kuchomwa na wanaume wenzao bwenini.
 
Pole mkuuu
 
Huenda wangemsaidia pale ulipowaambia. Ila ndo basi tena mambo ya wazazi kuona watoto wao ni saints 😥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…