yani uko tabora unataka kwebda dom kuna nini nenda bugando masaa 6 umefika , ile hospirali ni bora kuliko dom unakowaza.Niko mkoa wa tabora,nawaza kwenda hospital kati ya dar au dom Sasa niende hospital ipi ndo nasubiria mawazo yeny
Mkoa wa taboraUpo mkoa gani?
Pole, ni tatizo dogo atakaa sawa, nenda serian Arusha, nadhani ndani ya siku 3 atakaa sawa.Niko mkoa wa tabora,nawaza kwenda hospital kati ya dar au dom Sasa niende hospital ipi ndo nasubiria mawazo yeny
Panda extra luxury ya jioni, asubuhi uko Arusha, siku hiyo hiyo afanyiwe vipimo na kupata matibabu sahihi.Mkoa wa tabora
Nashangaa hawaonikwani JF madaktari hamuoni huu uzi au
Njoo tukupimekwani JF madaktari hamuoni huu uzi au
mi siumwiNjoo tukupime
wanazingua mnoNashangaa hawaoni
Kama daktari bingwa kwa kukutazama tu, nakuona unaumwa, kwa sababu macho yako yanaonyesha/yamelegea.mi siumwi
zamani nilikua najua wew ni mkubwaKama daktari bingwa kwa kukutazama tu, nakuona unaumwa, kwa sababu macho yako yanaonyesha/yamelegea.
Miaka 74 sio mchezozamani nilikua najua wew ni mkubwa
unaota?😅Miaka 74 sio mchezo
Kweli, napenda kujiweka kiujana ujana ili nisizeeke harakaunaota?😅
sawa tusiharibu uzi wa watu, byeeKweli, napenda kujiweka kiujana ujana ili nisizeeke haraka