Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 6,168
- 15,748
😅😅. Dahhh unanikumbusha mbali sanaAstaghifilullah!Wajirekebishe kabla mwewe hajawaandama hadi wazimie na kulazwa Lwanzari.
😅😅. Dahhh unanikumbusha mbali sanaAstaghifilullah!Wajirekebishe kabla mwewe hajawaandama hadi wazimie na kulazwa Lwanzari.
Maana hata nilipofika pharmacy kuchukua dawa mfamasia alidaut kidogo inabid wawasiliane na dokta ndio akasema hivoSasa mbona amepewa dose ya mtu mzima??
Ana uzito gani huyo mtoto?? 🤔 🤔
Mkuu nimeenda kitete na siku mbili mfululizo siku yakwanza wakasema hakuna ugonjwa,siku ya pili nikarud na sample ya mkojo wakapima tenaMhhhh, kazi kweli kweli, hii management imenishangaza sana, kwa hospital kubwa kama ile.. Usije ukawa ulienda "amen",
Umekumbuka kufwariki au kwenda Kwihala?Mimi nimekumbuka maembe na zambarau za kwa Boga.😅😅. Dahhh unanikumbusha mbali sana
Kwa uzito huo, ilitakiwa apewe vidonge 2½ tu.. Na siyo 4.Ana uzito wa kg 37
Ulikuwa na umri gani?Niliwahi kupata hilo tatizo, mara mbili, wakati ninaishi Mvuha. Iko hivi, hapo mtoto wako slipo anapata maumivu makali sana chini ya kitovu, chapati choo kizuri, moja moja kwa moja twende kwenye tatizo, mpaka hapo mwanao anaumwa kichocho kikali, na hiyo damu uoonayo ni kwamba bacteria maambukixi yamefika kwenye kibofu cha mkojo, hizo ni chembe za damu ndio zinaleta huo wekundu. Nakumbuka nilichomwa sindano na nikapewa dawa za kumeza, Ndugu baada ya kutumia dawa zilipita siku kama tatu ndio nilianza kupata dalili za kupona, nakumbuka Tiba ilichukua wiki nzima. Hapo mtoto anapata maumivu makali sana kwenye kibofu. Inatibika, kwa Morogoro mjini mimi nilipata matibabu hospital mbili tofauti, mara ya kwanza nilizani ni kichocho cha kawaida nilienda zahanati binafsi nikaandikiwa dawa na sindano nikapona, lakini baada ya kukaa muda fulani tatizo lilirudi, nikaenda pale platinum iko msamvu ndipo hapo nikaambiwa kibofu cha mkojo kina infection. So ni kichocho ambacho kimefika kwenye kibofu Kaka. Atapona ila mpambanie dogo anapata maumivu makali mnoo.
Nimezulula sana hiyo Tabora mkuu. Naijua vizuri sanaUmekumbuka kufwariki au kwenda Kwihala?Mimi nimekumbuka maembe na zambarau za kwa Boga.
Basi wameetibu kwa uzoefu baada ya kuona tatizo halionekani.. 🤝 🤝Mkuu nimeenda kitete na siku mbili mfululizo siku yakwanza wakasema hakuna ugonjwa,siku ya pili nikarud na sample ya mkojo wakapima tena
Labda, alikuwa anatandaza/kutega nyavu za uvuvi wa dagaa mitaani/madimbwini.Ulikuwa na umri gani?
Mtu mzima ngumu kupata kichocho sababu aogelei kwenye madimbwi na mabwawa, maji yasiyotembea.
Wallah!?Vema sana.Tukutuku au uwanja wa dhambi unapafahamu?Nimezulula sana hiyo Tabora mkuu. Naijua vizuri sana
Madaktari wanafanyia kazi hospitali ndio maana kashauriwa aende Tertiary hospital.kwani JF madaktari hamuoni huu uzi au
Online doctoring!Madaktari wanafanyia kazi hospitali ndio maana kashauriwa aende Tertiary hospital.
Yeah hiyo dose ni kubwa sana.Maana hata nilipofika pharmacy kuchukua dawa mfamasia alidaut kidogo inabid wawasiliane na dokta ndio akasema hivo
Tukutuku, machinjioni, kizigo, ng'ambo, Livingston unaoelekea kwihala, kigamboni, tabora boys na girls, kaze-hill, TBC, CG FM, cheo A na cheo B, ipuli kule mitaa ya freemason, chemchem, unapnda kule juu jeshini, kwa mrema kwenye kitimoto kule. 😅😅😅😅Wallah!?Vema sana.Tukutuku au uwanja wa dhambi unapafahamu?
Kwaiyo hapa nini kifanyike mkuuKwa uzito huo, ilitakiwa apewe vidonge 2½ tu.. Na siyo 4.
Ndo maana nasema matibabu ya mtoto yalipikwa kwa namna fulani.
Mkuu Bado nin wazee wawili bamkubwa kaanza dialysis na baba mzazi anaendelea poa tuMkuu mzee wako anaendeleaje?
Huwa Siogelei kwenye mito wala madimbwi.Ulikuwa na umri gani?
Mtu mzima ngumu kupata kichocho sababu aogelei kwenye madimbwi na mabwawa, maji yasiyotembea.
Nkinga hapafai?Niko mkoa wa tabora,nawaza kwenda hospital kati ya dar au dom Sasa niende hospital ipi ndo nasubiria mawazo yeny