Mkuu mimi huwa sipendi sana kutoa diagnosis kwa njia ya kupiga ramli,Kwaiyo hapa nini kifanyike mkuu
mbona maelezo ya hospital kayatoa hapo juu, mnatakiwa mumtie moyo na kumwelekeza aende hosp gan kama referralMadaktari wanafanyia kazi hospitali ndio maana kashauriwa aende Tertiary hospital.
Gentleman,Habar wakuu,kama nilivyoleta kwenu ugongwa huo wa mtoto wangu nanikachukua hatua yakwenda hospital ya rufaa akapimwa mrejesho wa kwa kwanza kipimo katika mkojo usio na damu hakuonekana nitatizo,vipimo vya siku ya pili akapimwa mkojo uliokuwa umechanganyikana na damu majibu yakatoka ana kichocho
Tukapewa dawa ya kichocho plazquantel 600mg yaan vidongo 4 vya mg600,mtoto akaanza kutumia usiku wa juzi,usiku huo huo alikojoa mkojo kiasi Cha kikombe Cha kahawa baadae asubuh ya Jana akanywa kidonge Cha pili,
Sasa kuanzia hapo asubuh ya Jana mpaka jioni akawa amekunyw amekunywa maji kiasi Cha Lita moja na nusu lakini wakati wote mkojo anakojoa wenye damu kabisa,Sasa Leo asubuh amemalizia kidogo Cha mwisho,nakuazia asubuh hiyo Hadi kufikia usiku huu amekunywa maji jumla Lita1.5 lakini mkojo Amekua anakojoa kidogo kidogo katika makopo mkojo wenye mchanganyiko na damu Sasa nimeukusanya mkojo wote waleo siku mzima ambappo amekunywa maji Lita moja na nusu
Na asubuh ya kesho ataanza dawa hii ya NITROFURANTOIN-100mg atakunywa 1×2, Leo asubuh dawa ya prazquantel 600mg amemalizia ila Hadi Sasa anakojoa damu naambatanisha nipicha ya mkojo ameokojoa siku mzima baada ya kunywa maji lita1.5
Msaada wenu nimpeleke hospital Gani kubwa Zaid ambayo inawataalamu watakao baini nakulimaliza tatizo la mtoto wangu
Pia hospital hizo kubwa nikaonane na daktar anaetibu magonjwa yepi
Polee sana mkuuMkuu Bado nin wazee wawili bamkubwa kaanza dialysis na baba mzazi anaendelea poa tu
Umenikumbusha mbali sana ,nilipata kichocho kuogelea kwenye madimbwi.Ulikuwa na umri gani?
Mtu mzima ngumu kupata kichocho sababu aogelei kwenye madimbwi na mabwawa, maji yasiyotembea.
Mtoto imebainika sio kichochoMpeleke hospital ya serikali ngazi ya wilaya mkoa au kanda ,
Lakn mtoto mnampa maji mengi mno 1.5L per day anatak mwenyew ? (Kama ni yeye mwenyew anatak ni saw
Kashapimwa
Kuna dalili za maambuzi ya bacteria kwenye figo(pyelonephritis) yametoka kwenye kibofu hadi kwenye figoMrejesho majibu ni haya ya ultrasound yamebaini ugonjwa ila hana kichocho
Mkuu majibu ya ultrasound haya hapaAkachunguzwe figo zake kama sipo salama
Huenda pia alikuwa na UTI ya muda mrefu na hakupata matibabu sahihi hivyo ikapelekea infection ifike mpaka kwenye figo (Pyleronephritis) , au huenda pia amepata nephritic syndrome.
Je mtoto huwa uso unavimba haswa nyakati za asubuhi?
Na mkojo vipi anapata mwingi au umepungua na wenyewe ?
Hapa nin chakufanyaKuna dalili za maambuzi ya bacteria kwenye figo(pyelonephritis) yametoka kwenye kibofu hadi kwenye figo
Hapa niende hospital Gani kwa dar ntakayopatiwa tiba sahihi akapona mtotoKuna dalili za maambuzi ya bacteria kwenye figo(pyelonephritis) yametoka kwenye kibofu hadi kwenye figo
Sina uzoefu nenda MUHIMBILI , KAILUKI ,Hapa niende hospital Gani kwa dar ntakayopatiwa tiba sahihi akapona mtoto
Muhimbili ipi mloganzila au upangaSina uzoefu nenda MUHIMBILI , KAILUKI ,
Hao waliompima mtoto hawajakwambia uende hospital gani kama kwao hawezi ku dili na hilo Tatizo, na wew c upo jiji (dar
Zote tuuMuhimbili ipi mloganzila au upanga