Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
Hivi nyie ngumbaru mnapata wapi ujasiri wa kuanika ujinga wenu kama huu humu mtandaoni.Mkuu jaribu kununua vidonge vya CHLORAMPHENICOL ameze ndan ya siku Saba(mtu mzima anameza tembe mbili kwa 12hr ila kwa mtoto muulize mfamasia).
Chimba mizizi ya:
Papai dume na makale
Osha Palua na chemsha mengi hata upate lita kumi.
Awe anakunywa kama maji yaan yawe ndo maji ya kunywa hayo.
Huku akizingatia na kunywa chloramphenicol mara mbil kwa siku.
atumie hivo afu ukague maendeleo yake. Uje utupe mrejesho hapa.
Pole asee
Lengo lako la kukusanya huo mkojo ni ili iweje???Habar wakuu,kama nilivyoleta kwenu ugongwa huo wa mtoto wangu nanikachukua hatua yakwenda hospital ya rufaa akapimwa mrejesho wa kwa kwanza kipimo katika mkojo usio na damu hakuonekana nitatizo,vipimo vya siku ya pili akapimwa mkojo uliokuwa umechanganyikana na damu majibu yakatoka ana kichocho
Tukapewa dawa ya kichocho plazquantel 600mg yaan vidongo 4 vya mg600,mtoto akaanza kutumia usiku wa juzi,usiku huo huo alikojoa mkojo kiasi Cha kikombe Cha kahawa baadae asubuh ya Jana akanywa kidonge Cha pili,
Sasa kuanzia hapo asubuh ya Jana mpaka jioni akawa amekunyw amekunywa maji kiasi Cha Lita moja na nusu lakini wakati wote mkojo anakojoa wenye damu kabisa,Sasa Leo asubuh amemalizia kidogo Cha mwisho,nakuazia asubuh hiyo Hadi kufikia usiku huu amekunywa maji jumla Lita1.5 lakini mkojo Amekua anakojoa kidogo kidogo katika makopo mkojo wenye mchanganyiko na damu Sasa nimeukusanya mkojo wote waleo siku mzima ambappo amekunywa maji Lita moja na nusu
Na asubuh ya kesho ataanza dawa hii ya NITROFURANTOIN-100mg atakunywa 1×2, Leo asubuh dawa ya prazquantel 600mg amemalizia ila Hadi Sasa anakojoa damu naambatanisha nipicha ya mkojo ameokojoa siku mzima baada ya kunywa maji lita1.5
Msaada wenu nimpeleke hospital Gani kubwa Zaid ambayo inawataalamu watakao baini nakulimaliza tatizo la mtoto wangu
Pia hospital hizo kubwa nikaonane na daktar anaetibu magonjwa yepi
Yaani kumbe ukitoa uchwa unamadini hivi👏👏👏👏Gentleman,
nashauri,
baada ya dozi kwisha,
ni muhimu kuvuta subra walau kwa wiki moja zaidi, huku kijana akiendelea kula na kushiba vizuri huku akiendelea kunywa maji ya kutosha na matunda yenye maji kwa wingi.
dozi aliyotumia ni very strong,
ni vizuri pakawa na interval kidogo kabla ya kuanzishwa dozi nyingine ili kuepuka kuzalisha changamoto nyingine mpya inayoweza kutokea kutokana na athari za madawa mengi mfululizo.
Aidha,
ni vizuri kumchunguza Figo, huenda damu inayoonekana kwenye mkojo inatoka kwenye figo inayovuja kutokana na sababu mbalimbali.
Hata hivyo ni muhimu zaidi kuzingatia ushauri wa daktari mahalia.
Gentleman,
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi, na amjalie nafuu na hatimae uponyaji wa mapema kijana wetu.🌹
ushaanza kupiga vyombo mapemaaaa!🐒Yaani kumbe ukitoa uchwa unamadini hivi👏👏👏👏
Wewe ni chawa ila unaufahamu mwingi na wakipendezwa wakubwa huko chamani yapaswa wakuone na wakupe position nzuri🙏ushaanza kupiga vyombo mapemaaaa!🐒
Mapema sana nipo naperuzi jf huku nikisuuza koo na kuuburudisha moyo.ushaanza kupiga vyombo mapemaaaa!🐒
Je wewe ndo mwenye uzi huu? hayakuhusu acha umama.Hivi nyie ngumbaru mnapata wapi ujasiri wa kuanika ujinga wenu kama huu humu mtandaoni.
Unaijua dawa ya Chloramphenical???
Hayo majani unmahauri amnyeshe mtoto umeyafanya utafiti na umeandika wapi utafiti wako???
Wajinga kama wewe ni wkunyongwa,,,
Bloody wahed,,gaddemit!!!
📌Huna akili!Je wewe ndo mwenye uzi huu? hayakuhusu acha umama.
inaonekana wewe wa kishua hujui yakuwa ikishindikanaga mahospitalin watu wanaanza kutumia na miti shamba.
na sio mpaka nilete tafti zangu hapa wew juwa kupona maisha yaendlee hapo angesema mzungu usinge bisha haya endelea hayajakukuta bado.
kuna kidonge fulan cha ng'ombe akinywa binadam anapona tambua hilo.