Kiokotee
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,675
- 2,211
Niwashukuru wote mliochangia Uzi Ule kwa Serious na Hata wale mliobeza!
Nyumba yangu nimeshauza na sasa natarajia kuanza mwaka mpya wa Bajeti kwa malengo mapya, Kama waajiriwa wengine
Nilichojifunza hapa JF kuna watu muhimu sana katika Nchi hii Amini nawaambia, Pia kuna watoto humu We Wazee wenzangu tuwe makini Lakini kitu kingine kama Una Biashara yako serious kabisa Unauza Uhakika wa kuuza ni Mkubwa sana na wala sio lazima Kuweka Picha wala Bei. Sio Kila mteja anapenda kujulikana Nyumba yake kainunua Mtandaoni wengine wapo Nje ya Nchi wanatafuta makazi sehemu fulani.