Mrejesho; Nyumba yangu ya Mapinga

Mrejesho; Nyumba yangu ya Mapinga

Kiokotee

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
1,675
Reaction score
2,211
Niwashukuru wote mliochangia Uzi Ule kwa Serious na Hata wale mliobeza!

Nyumba yangu nimeshauza na sasa natarajia kuanza mwaka mpya wa Bajeti kwa malengo mapya, Kama waajiriwa wengine

Nilichojifunza hapa JF kuna watu muhimu sana katika Nchi hii Amini nawaambia, Pia kuna watoto humu We Wazee wenzangu tuwe makini Lakini kitu kingine kama Una Biashara yako serious kabisa Unauza Uhakika wa kuuza ni Mkubwa sana na wala sio lazima Kuweka Picha wala Bei. Sio Kila mteja anapenda kujulikana Nyumba yake kainunua Mtandaoni wengine wapo Nje ya Nchi wanatafuta makazi sehemu fulani.
 
Sawa,Sasa ungetuambia umefanikiwa kuuza kiasi gani?ili tuonane mahali hata tujipongeze sisi wazee wenzio humu
Sikufanikiwa kuuza bei niliyotarajia,Ila nilipata ya kufanikisha mipango yangu!! Kuhusu kujipongeza wazee wenzangu muwe wavumilivu kwanza...
 
Sikufanikiwa kuuza bei niliyotarajia,Ila nilipata ya kufanikisha mipango yangu!! Kuhusu kujipongeza wazee wenzangu muwe wavumilivu kwanza...
We mzee hala hala usije kumwagilia moyo mpaka basi mana naona machawa wa jf wanakuwinda
 
Back
Top Bottom