Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

nmekubali jamaaa
 
Kaka nkmefanya Kaz katavi mwese kote nakufahamu huko Ni kma nakuona kbsa nilkuwa afsa ktk kampuni moja ya ssola
 
Ahaaa JF ndogo sana tumepishana mkuu.....nilienda mwez wa Saba mwaka jana mwaka huuu ntaenda tena ahaaa ukiwa LUBALISI kule unahisi huku hakuna watu wengine ambao wanaweza kupaju ahaaaaa ulikuwa sehemu Gani pale

Nilikuwa pale senta kabisa karibu na ule uwanja wa mtandao, nina mpango kurudi tena kama mambo yakikaa sawa
 
Alikuwa Demu wangu huyo, ndiye alinifanya nije na kupafahamu huko kusema ukweli kuzuri nilipapenda
Haha baba Celina Ana itwa Celina .....kama na kuona kwenye Ile nyumba ake upande wa pili sero ahaaa ukiwa unakula tunda kimasihara wahuni wafungwa Wana skilzia mikito ......,uko tabora Nini mkuu???? Pale ametoka siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…