Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

Hahahaha mkuu umenitonesha wakati Niko kule porini nimepiga sana ela za wasukuma yani unakuta amechezea simu na amefunga mtandao hapati mawasiliano anakuja kwangu utaskia vp bwana Ngosha na Mimi niambie bwana Ngosha maana walinizoea sana na walikuwa rafiki zangu sana. Utaskia simu yangu imeharibika bwana Ngosha naomba uiangalie. Kucheki unakuta amefunga mtandao, na Mimi kuzuga namwambia ebu iache utakuja badae nitatengeneza. Badae akirudi anakuta kitu inasoma anatoa 5000 anasepa,usimdharau msukuma wa maporini unaweza kumuona mchafu ananuka maziwa lakini anataembea na kibunda Cha ela mfukoni au anaela ndani za kutosha tu. Msukuma ni mtu poa sana hawanaga roho za unafiki kabisa kwenye utafutaji Yani mkiwa marafiki chochote ukitaka kwake atakupa. Na ukienda kufanya kilimo huko mwenyeji wako akawa msukuma Yani atakupa ushirikiano Kwa kiwango kikubwa hawanaga roho za kinyongo na unafiki.
Hiiii nakubali wale wanapesa pale kijijin lubalis ngo'mbe za msukuma zilika matwa zikaaa kama wiki Alikuwa Ana daiwa laki nne zilikuwa nying vijana walikuwa Wana Chunga msukuma Alikuwa mtata ikabidi afisa mifugo aje kwnye hiyo case jamaaaa alikuja mchafu akilipa cash Hilo deni
 
Hahahahaha uzi wangu sio mrefu bwana,sema threds za kilimo wewe hauko interested tu.Mimi hakuna threds za kilimo itapita mbele yangu nikaiyacha lazima nifatilie,na hili jukwaa ukiona mtu anachangia tambua anapenda kilimo au issues za kilimo hapa wale wazee wa Kula tunda kimasihara hauta waona huku.
Now dsm nalima nyanya ila Feb kule lubalis nitakuwa na project ya maharage
 
Hongera sana kapambane mkuu, mi najipanga nije niweke kambi huko kwenye msimu wa mahindi panapo majaaliwa. Huenda tukawa wote tuombe afya njema na uhai mpaka wakati huo.
Yes nimefika mkuu ardhi yao Bado bikra haswa kule lubalis mahindi na maharage hakuna dawa parizi tu ardhi Kali nyasi kijani mvua zikianza zina gonga mrefu march mwaka huuuu nitakuwa huko wa pili tuna andaaaa maeneo ya kulima maharage
 
Mkuu huko wanaume ndio tunaingia, tunakomaa miezi yetu mitano msimu ukiisha tunarudi mjini na mitaji ya maana kuja kuwekaza. Muhimu ni afya njema na uhai hayo mengine si muhimu ata yakitupita, muhimu ni kupambana mpaka hatua ya mwisho katika hali yoyote ile. Mwanaume huwezi kwenda sehemu kupambana uanze kulia lia kwa sababu ndogo kama mtandao, wanao lilia mtandao ni wanawake na mabishoo. Mwanaume ni unakaza popote pale
Unajua Papa Gx haya maisha kujitoa muanga tu,na furusa za kutoboa ambazo hazina ujanja ujanja zimebaki kwenye kilimo ndugu zangu yani mjini kumeshabana na kutoboa sio kama unavyofikiria wewe zaidi ya kusifia matajiri na kuwanyenyekea wenyewe wanaita Chawa.Yani ukubali kudhalilishwa na mtu alafu anakugawia kipande cha mkate haya ni maisha ya kipumbavu kabisa ndo maana wimbi la vijana kila siku linaongezeka kuwa chawa wa watu flani kisa kutaka maisha mazuri matokeo yake wanageuzwa kuwa mashoga na kufanyiwa udhalilishaji.Ebu watanzania tuamke,Nchi hii bado inamaeneo makubwa sana na aridhi bado ni bikra kabisa,yani kuna maeneo unaenda hadi unashangaa watu wanaishi uko lakini huduma za kijamii zipo mbali ebu fikiria wewe ukaenda uko ukaamua kujitengenezea kijiji chako yani ukafungua huduma ukaweka mashine yako ya kusaga,ukafunga Solar panel yako kubwa ukawa unaonyesha mpira na matukio ya Kitaifa,ukafungua hapo kijiduka chako huko unauza Vocha,mafuta dawa za binadamu yani maitaji yote ya msingi ukawa unauza.Maana huko hakuna TRA anaefika wala TFDA atakae kuuliza cheti cha kuuza dawa za binadamu kiko wapi.Yani huko kwa muda mfupi utafahamika na kuwa maalufu maana uko mtu anatembea kilo mita kadhaa kwenda kuangalia taarifa ya habari kijijini au kuangalia mpira.Tunaendelea kwakuwa wewe ni msomi ulie na elimu utalima kilimo cha kisasa na utaweza kufundisha pia wakulima wenzako kilimo bora hivyo utatengeneza jina na wakulima watakuamini na kukuletea matatizo yao hivyo utaitwa Bwana shamba na utapiga ela kupitia ushauri na mashamba darasa yako pia utafungua huduma ya kuwauzia dawa za kilimo kama vile dawa za kuua magugu shambani,viwatilifu nk hapo utajenga jina na kufahamika zaidi. Kumbuka kule ni porini kuna wafugaji ni wengi na kwakuwa hapo kwako ndio kijiwe cha wakulima na wafugaji wanaokuja kupata huduma zao mhimu kama kuangalia mpira,kusaga,kununua dawa za kilimo,dawa za binadamu nk hivyo utakuwa unafahamika sana.Tunaendelea hapo kunafurusa nyingine ya kuuza dawa za mifugo kwa wafugaji maana wafugaji wanatembea kilo mita kadhaa kwenda kununua dawa za mifugo huko,hivyo ukiweza kuleta dawa hizo na kuwauzia tayari umetengeneza mahusiano makubwa na wafugaji hivyo utaitwa Daktari wa mifugo.Hapo jifunze matumizi ya dawa mabalimbali za mifugo,kuchoma sindano nk,kwakuwa utakuwa na Simu janja mengine unajiongeza Google search ndugu yangu hapo wafugaji watakuwa wanakimbilia kwako kupata huduma na ushauri.Kwakuwa wewe utakuwa huko jenga urafiki na maafisa kilimo/mifugo na pia mwenyekiti wa kijiji na mtendaji wawe rafiki zako maana kuna michongo mingine kijijini zitakuwa zinakuja wanakutonya maana wewe utakuwa ni The Don tayari.Tunaendelea pia kumbuka huko huduma za kifedha ni shida hivyo utakuwa ukitoa huduma za kiedha lakini sio kwa kiwango kikubwa hapo utaangalia na aina gani ya mtandao unapatika uko hivyo utatafuta makampuni ya simu na kupata line za uwakala na pia usisahau kupata Code ya kusajili laini za simu maana kule hakuna frilencers wanaofanya kazi hizo hata hapo kijiji hakuna.Hivyo utajiongezea umaalufu.Tunaendelea tayari umeshajenga jina kwa viongozi wa.kijiji hivyo michongo ya kusimamia chaguzi zikifika au sensa ya makazi zikifika lazima upate au Kuna mradi flani unaletwa kwa wakulima lazima upate au kushirikishwa hizo ni ela zinaongezeka hapo.Kumbuka kule umeshajenga jina kwa wakulima wenzako na wafugaji hivyo utaanza kuwanunulia mazao yao kwa bei ya kutupwa maana wakiwa wanapata shida wanakimbilia kwako na wengine kukuuzia mifugo zao kama kuku,mbuzi nk hivyo utanunua kwa bei chee.Hapo utajenga ghala la kuifadhia mazao pia utakuwa ni Agent wa mazao kuwanunulia mabosi walioko mikoani kutokana umaarufu ulio nao,hapo kipato kinaongezeka kikubwa uwe mwaminifu lakini pia usikae na kiwango kikibwa cha pesa ndani peleka benk.Tunaendelea hapo kwako hakikisha mazingira yanavutia yani upo porini lakini ni kama upo town,chakula bora,kausafiri kako ka pikipiki na pia utajenga nyumba za kiasili lakni zenye mvuto na kuweka vitanda na magodoro bora kwaajili ya kulala watu mbali mbali wanaokuja kutaka huduma za kununua mazao,kutafuta maeneo ya kununua nk.Hapo watakuwa wakilala na kulipia au pengine ukiwapa maradhi kama free kuongeza marafiki na kupata umaarufu zaidi.Kumbuka kwamba ukishakuwa maarufu hapo una uwanja mkubwa sana wa kupata pesa.Tunaendelea kwakuwa hapo tayari umejenga jina hivyo utaendelea kununua mashamba makubwa na kuendelea kupanua kilimo chako na kuongeza zaidi production mwaka hadi mwaka lakini pia kulingana na umaalufu wako, Shamba boys watakuwa wakija wenyewe kutafuta kazi na utakuwa na uwezo mkubwa wa kumiliki cheap Labour kwa bei chee na uchumi wako kuendelea kuimalika kikubwa uwaminifu kwa wafanyakazi wako na kuwajali maana hao ndio wanao kuingizia pesa.Acha kudhurumu vijana wanaokuja kujitafutia maisha kwa jasho lao utakuwa una hatarisha uchumi wako.
Pia kwakuwa utakuwa na mashamba makubwa,shamba ambalo linafika mtoni na kwenye maji yasio kauka lima miwa,migomba,miti ya matunda na pia weka mabanda ya kuku wa kienyeji,bata,Kufuga samaki wa kila aina,sungura,mbuzi,kanga nk.Yani wewe fuga chochote kitakacholeta pesa yani hata kama ni nyoka au kobe wewe fuga tu.
Tayari hapo jina limekuwa kubwa sasa utaanza kuitwa Boss na vyeo vya kiserekali vitaanza kukufata kama Mjumbe/ Mwenyekiti/Diwani/ Mwenyekiti wa wakulima maeneo uliopo nk.Hapo sasa wabunge kwenye majimbo hayo wataanza kukufata kipindi cha kampeni ili uweze kuwashawishi wakulima wenzako wawapigie kula,na kwakuwa kwako ndio kijiwe kikumbwa na huduma zote mhimu zinapatika hapo utakuwa na uwanja mpana wa kuwashawishi na kukubalika.
Nb: Kumbuka pesa unazo zipata wekeza mjini kwa kujenga majumba ya kupangisha,Guest houses nk.Pia nunua fuso yako moja tu kwaajili ya kubeba mazao yako kupeleka kwenye masoko na pia kununua Tractor ya kulimia maana tayari utakuwa na mashamba makubwa.

Pia hapo utakuwa na maswali kichwani kwako vp kuhusu watoto kusoma,jibu ni rahisi tu watoto peleka boding school na town kuna kuwa na nyumba yako muda flani unaenda kupumzika na kucheki familia yako.Wakifunga wanakuja shambani kupumzika kusaidia shughuli za shamba,acha kuruhusu watoto wakae kiboya boya ebu wafundishe shughuli za shamba kama kulima,kuangalia mifugo kujifunza maisha ya kujitegemea nk.Wewe tegemea sasa eti kusomesha watoto ili aje kuajiriwa wakati ukoo mziwa hakuna hata mtendaji wa kijiji atae kupa connection Halimashauri au Tamisem.Tufundishe watoto kujiajiri.

Ndugu zangu nimeandika kuunga mchango wa jaama huyu lakini pia kutoa idea yangu ambayo Mungu akinisaidia uhai nategemea kuanya maisha kama hayo nilio elezea.Mjini yamekuwa magumu ebu twendeni huko mashambani tukawekeze na maisha yatabadilika tu.Miaka hii tulionayo usitegemee kwa watu walioko mjini kwamba chakula kitashuka bei.Ongezeko la watu linazidi kuwa kubwa na watu wanazaliwa kila siku,hivyo mkulima ukikaza unatoboa vizuri tu.Maana vijana wengi wanakimbilia mijini wakidhani ndiko kuna furusa kumbe hakuna kitu.Tuseme tu kwa uhalisia sio kama naponda lakini ni hali harisi.Hivi kwa mfano leo utoke kijijini eti unenda mjini kutafuta maisha dsm au kwenye jiji lolotea hapa Tanzania unafkri muda utakaotumia hadi kuja kutoba na mtu atakae amua kwenda kuwekeza shambani nani atatoboa mapema?.Maana wewe wa mjini pesa yako hata ukipata iyo kazi itaishia kulipa kodi ya chumba,kulipa umeme,maji,taka,ulinzi,Chakula,nauli za daladala kila siku,watoto nauli zao za kwenda shule na kurudi,matibabu nk hapo usaidie wazazi maana most of us tunatoka familia masikini, je hata kama unalipwa.mshahara wa milioni utatoboa?
Ndo inakuja yale mambo ndugu yako akikuambia nakuja mjini unaanza kumchenga mara nimesafiri ohh mara nina semina kwani nyumbani watu hawapo? Wewe siuko safari mimi utanikuta.Kumbe hapo anawaza nitamlaza wapi uyu mgeni na atakula nini.Mwisho wa siku mgeni anatelekezwa stand ya nyegezi au Stand ya Magufuli mbezi.
Lakini mimi shambani ni fulu bata maana hata nikiwa na akiba ya 50000/= naweza kumaliza wiki nzima sijaitumia.
Kwasababu sinunui chakula,sulipi umeme hapo nimefunga soral panel kubwa umeme fulu na nimefunga dstv full mech na taarifa na matakio ya kitaifa naangalia.Maji fulu nimechimba kisima,hakuna ela ya taka wala ulinzi na pia situmii dala dala ninayo pikipiki yangu iko fulu tank ni kutekenya tu ,pia sometime nakuwa boda kwa wakulima wenzangu wanaoitaji huduma ya usafiri wanalipia.
Hapo kitoweo hakisumbui maana ninakila aina ya mifugo kuku,kanga,mbuzi nk.
Hivyo nj kutoa maagizo tu kwa shamba boy kamata uyo kuku au.mbuzi chinja tule na pia mbogamboga nikishuka bondenj kila aina ya mbogamboga iko pale.Je unataka kuniambia mwanamke uzazi utasumbua? Maana nakula mlo kamili na anapata vitamini ya kutosha vilevile na mimi kidume mwili uko imara ni kitendo cha kutekenya tu injinia soma iyoooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani no stress.
Jamani tuamke,ninapenda kuishi maisha haya na ndoto yangu siku moja nitayaishi.

Walioko vijijini tufanye kubadilishana,nyie kimbilieni mijini sisi tuje mashambani.

Muwe na Sabato njema ndugu zangu.
 
Yes nimefika mkuu ardhi yao Bado bikra haswa kule lubalis mahindi na maharage hakuna dawa parizi tu ardhi Kali nyasi kijani mvua zikianza zina gonga mrefu march mwaka huuuu nitakuwa huko wa pili tuna andaaaa maeneo ya kulima maharage
Ukiwa uko chief tutafutane.Ebu njoo pm nipate mawasiliano yako.
 
Kule lubalis mtandao Hadi uende uwanja wa shule ya msingi lubalis pale una patikana kama una tumia tigo .....Kwa voda kwenye maduka ya pale kijijin una patikana mtu akizama kule kipatikana kwake Kwa manati sana usiku unaona simu zina Waka watu nyomi wake uwanjani .......ila kule mbali ***** nimekutana na nguzo za tanesco wame chimbia nikasema kweli shirika linafanya kazi kufika huko one day shule LUBALISI mkuuu kuzur sana haswa center shuleni
Mkuu unanikumbusha nilikuwa nikenda kwa wakala pale kutoa pesa yule wakala maalufu na mfanya biashara maalufu pale kijijini yani yule jamaa dukani kwake kila kitu unakitaka dukani kwake utakipata.Basi ukienda kutoa pesa utachukua namba ya wakala unaenda kutegeshea kwenye kichugu flani then ukishatoa ule muamala unaenda kumuonyesha ile msg anakukabidhi mpunga wako unasepa.
Lakini cha ajabu yule jamaa ni mjanja sana dahhh ila wachaga ni level zingine kwenye biashara[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani utafanya pale muamala alafu unafanya tena palepale manunuzi mwisho wa siku pesa ile inabaki tena pale unaondoka hata mia una mfukoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787].Yani ni maalufu pia kwa nunua maharage,wakulima walio na njaa naela wanapeleka kuuza pale na bei anajipangia atakayo.Unakuta wamama wanopiga nyoka waume zao wanapeleka kuuza pale kisirisiri yani uwe robo,nusu,kilo nzima,debe,gunia,kikombe yanj haachi kitu.Ila kubaliana na bei yake utaki tembea.
Unaona jamaa anavyo make pesa pale.
 
Pale Kuna wakala wa tigo na hiace zinapo anzia mazao yapo mwese namba 4 hapo Kwa wachaga?
Wakala ni mmoja tu yule mwamba ndo miamala yote utapata pale Tigo,voda,halotel na airtel money. Kwa upande wa mazao hapo namba 4 labda ufanye kituo cha ukusanyaji maana mashamba yako pembezoni,kwaiyo wakulima wanatoa huko wanaleta pale au wewe uwe unafatilia kule shambani.
 
Warundi watata siku tuna karbia mwese namba 3 ......muha aiimzngua mrudi alimkanyaga AKa mwambia wew mkimbizi walitukanana balaaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee waha na warundi ni watata yani ni wabishi balaa.Ukitaka moto wewe anza kuzungumzia kuhusu mambo ya uraia uone moto wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Mkuu kipindi nasoma hii reply yako kuna muda picha ilikuwa inanijia kichwani vile ulikuwa unaelezea. Sio siri kijijini ukiwa muaminifu na ukaishi poa na kila mtu hakika utaishi maisha poa sanaaaa.

Nimewahi shuhudia mzee mmoja alikuwa peace sana kwa kila mtu yule mzee watu walimpenda sana na alikuwa maarufu sana kwa kile alikuwa anafanya mpaka vitoto vidogo ni vinamfahamu kwa namna alivyo kuwa.

Ulicho kiandika ni ukweli mtupu, ujue kuishi maisha mazuri sio lazima ukae mjini. Ata kijijini unaweza ishi maisha uyatakayo muhimu ni kutumia akili uliyo pewa. Hongera sana una kitu na fikra nzuri sana, nikwambie tu yote yanawezekana muhimu ni kujitambua tu.

Hii Tanzania kwa kijana unae jitambua, nikisema kujitambua namanisha uko vizuri kichwani na mwenye ndoto na uchu wa kutaka mafanikio. Achana na hawa mabishoo, namanisha mwanaume kweli na una kiasi cha million 1.5 tafuta kijiji chenye rutuba nzuri kwa kilimo huko ndani ndani kisha piga kambi yako ndani ya miaka mitatu utakuja kuleta ushuhuda hapa.

Shida asilimia kubwa ya vijana wanapenda maisha ya kufumba na kufumbua matokeo yake ndio maana leo hii tuna wimbi kubwa la vijana wavivu na wa hovyo kabisa. Hii Tanzania ukiwa makini huko vijijini kutoboa ni kugusa tu na umaarufu, vijana badilikeni maisha hayapo kukusubili kila siku zinasogea. Leo una miaka kadhaa mwaka ujao ni miaka kadhaa pia na kila siku uko pale pale, badilika sasa na uchukue maamuzi sahihi bado hujachelewa. Anaekupenda zaidi ni wewe mwenyewe, tubadilike vijana.
Unajua Papa Gx haya maisha kujitoa muanga tu,na furusa za kutoboa ambazo hazina ujanja ujanja zimebaki kwenye kilimo ndugu zangu yani mjini kumeshabana na kutoboa sio kama unavyofikiria wewe zaidi ya kusifia matajiri na kuwanyenyekea wenyewe wanaita Chawa.Yani ukubali kudhalilishwa na mtu alafu anakugawia kipande cha mkate haya ni maisha ya kipumbavu kabisa ndo maana wimbi la vijana kila siku linaongezeka kuwa chawa wa watu flani kisa kutaka maisha mazuri matokeo yake wanageuzwa kuwa mashoga na kufanyiwa udhalilishaji.Ebu watanzania tuamke,Nchi hii bado inamaeneo makubwa sana na aridhi bado ni bikra kabisa,yani kuna maeneo unaenda hadi unashangaa watu wanaishi uko lakini huduma za kijamii zipo mbali ebu fikiria wewe ukaenda uko ukaamua kujitengenezea kijiji chako yani ukafungua huduma ukaweka mashine yako ya kusaga,ukafunga Solar panel yako kubwa ukawa unaonyesha mpira na matukio ya Kitaifa,ukafungua hapo kijiduka chako huko unauza Vocha,mafuta dawa za binadamu yani maitaji yote ya msingi ukawa unauza.Maana huko hakuna TRA anaefika wala TFDA atakae kuuliza cheti cha kuuza dawa za binadamu kiko wapi.Yani huko kwa muda mfupi utafahamika na kuwa maalufu maana uko mtu anatembea kilo mita kadhaa kwenda kuangalia taarifa ya habari kijijini au kuangalia mpira.Tunaendelea kwakuwa wewe ni msomi ulie na elimu utalima kilimo cha kisasa na utaweza kufundisha pia wakulima wenzako kilimo bora hivyo utatengeneza jina na wakulima watakuamini na kukuletea matatizo yao hivyo utaitwa Bwana shamba na utapiga ela kupitia ushauri na mashamba darasa yako pia utafungua huduma ya kuwauzia dawa za kilimo kama vile dawa za kuua magugu shambani,viwatilifu nk hapo utajenga jina na kufahamika zaidi. Kumbuka kule ni porini kuna wafugaji ni wengi na kwakuwa hapo kwako ndio kijiwe cha wakulima na wafugaji wanaokuja kupata huduma zao mhimu kama kuangalia mpira,kusaga,kununua dawa za kilimo,dawa za binadamu nk hivyo utakuwa unafahamika sana.Tunaendelea hapo kunafurusa nyingine ya kuuza dawa za mifugo kwa wafugaji maana wafugaji wanatembea kilo mita kadhaa kwenda kununua dawa za mifugo huko,hivyo ukiweza kuleta dawa hizo na kuwauzia tayari umetengeneza mahusiano makubwa na wafugaji hivyo utaitwa Daktari wa mifugo.Hapo jifunze matumizi ya dawa mabalimbali za mifugo,kuchoma sindano nk,kwakuwa utakuwa na Simu janja mengine unajiongeza Google search ndugu yangu hapo wafugaji watakuwa wanakimbilia kwako kupata huduma na ushauri.Kwakuwa wewe utakuwa huko jenga urafiki na maafisa kilimo/mifugo na pia mwenyekiti wa kijiji na mtendaji wawe rafiki zako maana kuna michongo mingine kijijini zitakuwa zinakuja wanakutonya maana wewe utakuwa ni The Don tayari.Tunaendelea pia kumbuka huko huduma za kifedha ni shida hivyo utakuwa ukitoa huduma za kiedha lakini sio kwa kiwango kikubwa hapo utaangalia na aina gani ya mtandao unapatika uko hivyo utatafuta makampuni ya simu na kupata line za uwakala na pia usisahau kupata Code ya kusajili laini za simu maana kule hakuna frilencers wanaofanya kazi hizo hata hapo kijiji hakuna.Hivyo utajiongezea umaalufu.Tunaendelea tayari umeshajenga jina kwa viongozi wa.kijiji hivyo michongo ya kusimamia chaguzi zikifika au sensa ya makazi zikifika lazima upate au Kuna mradi flani unaletwa kwa wakulima lazima upate au kushirikishwa hizo ni ela zinaongezeka hapo.Kumbuka kule umeshajenga jina kwa wakulima wenzako na wafugaji hivyo utaanza kuwanunulia mazao yao kwa bei ya kutupwa maana wakiwa wanapata shida wanakimbilia kwako na wengine kukuuzia mifugo zao kama kuku,mbuzi nk hivyo utanunua kwa bei chee.Hapo utajenga ghala la kuifadhia mazao pia utakuwa ni Agent wa mazao kuwanunulia mabosi walioko mikoani kutokana umaarufu ulio nao,hapo kipato kinaongezeka kikubwa uwe mwaminifu lakini pia usikae na kiwango kikibwa cha pesa ndani peleka benk.Tunaendelea hapo kwako hakikisha mazingira yanavutia yani upo porini lakini ni kama upo town,chakula bora,kausafiri kako ka pikipiki na pia utajenga nyumba za kiasili lakni zenye mvuto na kuweka vitanda na magodoro bora kwaajili ya kulala watu mbali mbali wanaokuja kutaka huduma za kununua mazao,kutafuta maeneo ya kununua nk.Hapo watakuwa wakilala na kulipia au pengine ukiwapa maradhi kama free kuongeza marafiki na kupata umaarufu zaidi.Kumbuka kwamba ukishakuwa maarufu hapo una uwanja mkubwa sana wa kupata pesa.Tunaendelea kwakuwa hapo tayari umejenga jina hivyo utaendelea kununua mashamba makubwa na kuendelea kupanua kilimo chako na kuongeza zaidi production mwaka hadi mwaka lakini pia kulingana na umaalufu wako, Shamba boys watakuwa wakija wenyewe kutafuta kazi na utakuwa na uwezo mkubwa wa kumiliki cheap Labour kwa bei chee na uchumi wako kuendelea kuimalika kikubwa uwaminifu kwa wafanyakazi wako na kuwajali maana hao ndio wanao kuingizia pesa.Acha kudhurumu vijana wanaokuja kujitafutia maisha kwa jasho lao utakuwa una hatarisha uchumi wako.
Pia kwakuwa utakuwa na mashamba makubwa,shamba ambalo linafika mtoni na kwenye maji yasio kauka lima miwa,migomba,miti ya matunda na pia weka mabanda ya kuku wa kienyeji,bata,Kufuga samaki wa kila aina,sungura,mbuzi,kanga nk.Yani wewe fuga chochote kitakacholeta pesa yani hata kama ni nyoka au kobe wewe fuga tu.
Tayari hapo jina limekuwa kubwa sasa utaanza kuitwa Boss na vyeo vya kiserekali vitaanza kukufata kama Mjumbe/ Mwenyekiti/Diwani/ Mwenyekiti wa wakulima maeneo uliopo nk.Hapo sasa wabunge kwenye majimbo hayo wataanza kukufata kipindi cha kampeni ili uweze kuwashawishi wakulima wenzako wawapigie kula,na kwakuwa kwako ndio kijiwe kikumbwa na huduma zote mhimu zinapatika hapo utakuwa na uwanja mpana wa kuwashawishi na kukubalika.
Nb: Kumbuka pesa unazo zipata wekeza mjini kwa kujenga majumba ya kupangisha,Guest houses nk.Pia nunua fuso yako moja tu kwaajili ya kubeba mazao yako kupeleka kwenye masoko na pia kununua Tractor ya kulimia maana tayari utakuwa na mashamba makubwa.

Pia hapo utakuwa na maswali kichwani kwako vp kuhusu watoto kusoma,jibu ni rahisi tu watoto peleka boding school na town kuna kuwa na nyumba yako muda flani unaenda kupumzika na kucheki familia yako.Wakifunga wanakuja shambani kupumzika kusaidia shughuli za shamba,acha kuruhusu watoto wakae kiboya boya ebu wafundishe shughuli za shamba kama kulima,kuangalia mifugo kujifunza maisha ya kujitegemea nk.Wewe tegemea sasa eti kusomesha watoto ili aje kuajiriwa wakati ukoo mziwa hakuna hata mtendaji wa kijiji atae kupa connection Halimashauri au Tamisem.Tufundishe watoto kujiajiri.

Ndugu zangu nimeandika kuunga mchango wa jaama huyu lakini pia kutoa idea yangu ambayo Mungu akinisaidia uhai nategemea kuanya maisha kama hayo nilio elezea.Mjini yamekuwa magumu ebu twendeni huko mashambani tukawekeze na maisha yatabadilika tu.Miaka hii tulionayo usitegemee kwa watu walioko mjini kwamba chakula kitashuka bei.Ongezeko la watu linazidi kuwa kubwa na watu wanazaliwa kila siku,hivyo mkulima ukikaza unatoboa vizuri tu.Maana vijana wengi wanakimbilia mijini wakidhani ndiko kuna furusa kumbe hakuna kitu.Tuseme tu kwa uhalisia sio kama naponda lakini ni hali harisi.Hivi kwa mfano leo utoke kijijini eti unenda mjini kutafuta maisha dsm au kwenye jiji lolotea hapa Tanzania unafkri muda utakaotumia hadi kuja kutoba na mtu atakae amua kwenda kuwekeza shambani nani atatoboa mapema?.Maana wewe wa mjini pesa yako hata ukipata iyo kazi itaishia kulipa kodi ya chumba,kulipa umeme,maji,taka,ulinzi,Chakula,nauli za daladala kila siku,watoto nauli zao za kwenda shule na kurudi,matibabu nk hapo usaidie wazazi maana most of us tunatoka familia masikini, je hata kama unalipwa.mshahara wa milioni utatoboa?
Ndo inakuja yale mambo ndugu yako akikuambia nakuja mjini unaanza kumchenga mara nimesafiri ohh mara nina semina kwani nyumbani watu hawapo? Wewe siuko safari mimi utanikuta.Kumbe hapo anawaza nitamlaza wapi uyu mgeni na atakula nini.Mwisho wa siku mgeni anatelekezwa stand ya nyegezi au Stand ya Magufuli mbezi.
Lakini mimi shambani ni fulu bata maana hata nikiwa na akiba ya 50000/= naweza kumaliza wiki nzima sijaitumia.
Kwasababu sinunui chakula,sulipi umeme hapo nimefunga soral panel kubwa umeme fulu na nimefunga dstv full mech na taarifa na matakio ya kitaifa naangalia.Maji fulu nimechimba kisima,hakuna ela ya taka wala ulinzi na pia situmii dala dala ninayo pikipiki yangu iko fulu tank ni kutekenya tu ,pia sometime nakuwa boda kwa wakulima wenzangu wanaoitaji huduma ya usafiri wanalipia.
Hapo kitoweo hakisumbui maana ninakila aina ya mifugo kuku,kanga,mbuzi nk.
Hivyo nj kutoa maagizo tu kwa shamba boy kamata uyo kuku au.mbuzi chinja tule na pia mbogamboga nikishuka bondenj kila aina ya mbogamboga iko pale.Je unataka kuniambia mwanamke uzazi utasumbua? Maana nakula mlo kamili na anapata vitamini ya kutosha vilevile na mimi kidume mwili uko imara ni kitendo cha kutekenya tu injinia soma iyoooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani no stress.
Jamani tuamke,ninapenda kuishi maisha haya na ndoto yangu siku moja nitayaishi.

Walioko vijijini tufanye kubadilishana,nyie kimbilieni mijini sisi tuje mashambani.

Muwe na Sabato njema ndugu zangu.
 
Hili bandiko itabidi niende stationary wanitolee kopi kisha nibandike kwenye mlango wa chumbani kwangu kila nikitoka nikumbe haya maneno mazuri. Asante sana chief umenipa kitu katika siku ya leo, ubarikiwe zaidi katika harakati zako. Tuko pamoja mwezi wa 9 tutakuwa wote panapo majaaliwa.

Wasukuma ndivyo tulivyo mkuu! Tanganyika mimi huwa napiga kambi Manyonyi!
 
Kama ni mkulima ambae bado unajitafuta na kutegema mvua,nakushauri njoo Katavi hadi Rukwa huko yani mvua sio za kubabaisha wala kuwa na mashaka.Ukiona mikoa mingine mvua zimekuwa za shida mwaka huo basi kwa mkulima wa katavi kwake ni neema kubwa kwani uwezo wa kuivisha mazao upo.Yani katavi bado ina mapori ya kutosha hususani iyo wilaya ya Tanganyika yani mvua sio za kitoto zikipiga hazina masihara,kikubwa kambini hakikisha una dagaa za kutosha,maharage mahindi ya kutosha na pia umefunga Solar panel yako kupata mwanga na kuchaji simu yani mbona maisha ya porini ni bata tu ukijikubali? Hahahahaha maana unaweza kukaa hata na milioni ndani na haujui utaifanyia nini hakuna starehe yoyote uko zaidi ya kusikia sauti za ndege na aina za ndege na sauti za wadudu.
🤣🤣🤣🤣🤣Siwezi kulima aisee,,,limeni nitakuja kuchuuza....kilimo ni wito
 
Back
Top Bottom