Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

Kaka ubarikiwe,kwa hongera kwa kupambana,mwenyez mungu akufanyie wepesi kwenye njia zako,
Nataka kuuliza kwamba JE KILIMO CHA VITUNGUU MAJI HUKO WANALIMA????
Vitunguu sijaona labda vijiji vingine huko,lakini ukiamua unalima tu,labda soko pakuuzia.
 
Nineewahi kufika Kibo njiapanda ya Mwese!
imalizie mzee baba!
The same mkuu ...huko nyoko mbali sanaaaaaaa , nimefika mwese vijiji vyote nimefika zile hiace noma mahali zina simama watu wanywe chai ,warundi wengi San pale namba nne nikichukua boda kushuka kijiji Cha LUBALISI kijiji Cha mwisho kutokea kigoma kina pakana na wilaya ya Tanganyika ...... umbali wa saaa 1 kule milima na baridi Kuna Tisha sana , nikatoboa mahali wanaita rukoma una subir Saratoga za kutoka kalya nauli 15000 safar ya masaa 8 hapo kwenda kigoma noma sana jamaaaaa kanikumbusha mbali hiace za mwese noma warundi kama wote mahali mnapita mtandao unakata
 
Kuna migodi/machimbo ya madini huko?

Maana maeneo yenye machimbo ndo kuna hayo mambo ya namba,nguzo na genge namba fulani!
Mimi sio mwenyej ila chini ya mwese kijiji Cha uvinza wanasema Kuna madani Kuna hifadhi ya taifa inaitwa mahale huko milima tu mkuu huoni mtu mawe makubwa sanaaa msimu wa masika boda 50000
 
Mkuu we kila sehemu unataka kwenda? Ukiona mtu analeta mrejesho ujue hiyo kitu alifanya ama bado anafanya, huyu kilimo alifanya mwaka jana bila kukosea. Sidhani kama bado yuko huko Katavi akiendelea na kilimo.

We kama vipi twende sisi wawili huko tukajikite tupige heka zetu 5.
Huko nyokoooo mkuuu mtandao wa simu kisanga sanaa
 
Back
Top Bottom