Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemeana una nunulia wapi au Kijiji gani, lakini Kwa upande wa mahindi Kuna center maalufu sana ya mahindi na apo ndo wanunuzi wa Mahindi wanapo kuja wanafikia hapo. Wanunuzi kutoka nchi za jirani na Mikoani wote wanapenda kufikia hapo. Maana yake ni kwamba hapo ndipo yalipo mghara ya kuhifadhia nafaka kwaiyo Kuna wale wanao enda kununua uko Kwa wakulima na kuleta kuuzia hapo, au ukipenda uwende kununua huko ni sawa.Hongera kwa Uzi mzuri,wale vijana wa ovyo wa KULA TUNDA KIMASIHARA huwezi kuwakuta humu,swali langu ni vipi kuhusu gharama za kusafirisha Mazao kutoka huko mpaka Mikoa mingine,gharama zipoje??na usafiri ni wa uhakika magari yapo? maana sehemu nyingine unaweza ukakuta mazao yapo mengi na kwa bei nzuri,shida inakuwa ni gharama kwenye kuyasafirisha
Hakutumia mbolea na wala hakulima shambaTuletee mrejesho tena ulivyo panua mradi baada ya kupata faida nzuri.
Lanini mkuu naona kupata magunia 40 kwa eka kama tatu ni kidogo. Na unasema ulitumia mbegu bora.
Kwa mimi nilicho shuhudia ni kwamba panya hakuna labda wale panya wa kusumbua ndani tu lakini shambani sijaona ndugu yangu.Iko hivi sometime hata hichi kilimo unaweza kupakana na jirani kwake kuko salama lakini wewe unapigwa either panya,ndege nk.Ukiona hari iyo fikr nje box.Kilimo pia ni uchumi ina vita yake.Kiongozi shukran kwa mrejesho na hongera pia.
Swali langu nje kidogo ya mada.
Panya huko kwenu hawasumbui? na kama wanasumbua mnafanyaje kupambana nao?
Hili lipo aisee...Kwa mimi nilicho shuhudia ni kwamba panya hakuna labda wale panya wa kusumbua ndani tu lakini shambani sijaona ndugu yangu.Iko hivi sometime hata hichi kilimo unaweza kupakana na jirani kwake kuko salama lakini wewe unapigwa either panya,ndege nk.Ukiona hari iyo fikr nje box.Kilimo pia ni uchumi ina vita yake.
Ndio hivyo,vita ya uchumi ni ngumu.Hili lipo aisee...
Panya wamekua wanasumbua upande wangu tu wamekata mahindi yote nilorudishia lakini upande wa pili yanaota vizuri tu ....
Nimerudishia mpaka nimeona nisirudishie Tena kwa sasa.
Kila mtego unaoeka hawafi hata mmoja nyie .....[emoji1787][emoji119]
Maisha haya [emoji119]
Mkuu kwanza nikuulize hayo mahindi ulipanda yakiwa na dawa? au ulipanda hizi mbegu za kienyeji? alafu kama vile umepanda kwa kuacha ma gape makubwa sana?Hili lipo aisee...
Panya wamekua wanasumbua upande wangu tu wamekata mahindi yote nilorudishia lakini upande wa pili yanaota vizuri tu ....
Nimerudishia mpaka nimeona nisirudishie Tena kwa sasa.
Kila mtego unaoeka hawafi hata mmoja nyie .....[emoji1787][emoji119]
Maisha haya [emoji119]
Kama nimeelewa vizuri kiongozi maswali Yako..Mkuu kwanza nikuulize hayo mahindi ulipanda yakiwa na dawa? au ulipanda hizi mbegu za kienyeji? alafu kama vile umepanda kwa kuacha ma gape makubwa sana?
Pole sana mkuu,ilo ni janga lingine,next time jaribu kusafisha maeneo yanayokuzunguka kama kuna vichaka hakikisha una fyeka.Pia jitahidi kufyeka nyasi zilizo pembezoni mwa shamba lako.Kama nimeelewa vizuri kiongozi maswali Yako..
Kuyaweka dawa mahindi sikuyaweka na wao kazi yao ni kukata mara nyingi hawachimbui kabla haujaota...
Nimetumia Tembo seedco sc 719..
Hapana c za kienyeji....
Hapana kiongozi gape lilikua vizuri tu ila nikarudishia ,wakakata .....nikarudishia mara ya tatu wakakata Tena ......na upigaji tu wa picha ila sehemu zingine zipo vzr mfano (kabla ya kurudishia)....