Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

Hongera kwa Uzi mzuri,wale vijana wa ovyo wa KULA TUNDA KIMASIHARA huwezi kuwakuta humu,swali langu ni vipi kuhusu gharama za kusafirisha Mazao kutoka huko mpaka Mikoa mingine,gharama zipoje??na usafiri ni wa uhakika magari yapo? maana sehemu nyingine unaweza ukakuta mazao yapo mengi na kwa bei nzuri,shida inakuwa ni gharama kwenye kuyasafirisha
 
Inategemeana una nunulia wapi au Kijiji gani, lakini Kwa upande wa mahindi Kuna center maalufu sana ya mahindi na apo ndo wanunuzi wa Mahindi wanapo kuja wanafikia hapo. Wanunuzi kutoka nchi za jirani na Mikoani wote wanapenda kufikia hapo. Maana yake ni kwamba hapo ndipo yalipo mghara ya kuhifadhia nafaka kwaiyo Kuna wale wanao enda kununua uko Kwa wakulima na kuleta kuuzia hapo, au ukipenda uwende kununua huko ni sawa.

Mara nyingi kama unataka Mzigo mkubwa unaingia huko ndani ndani unanua Kisha unachukua Trektor ya kusogeza pale. Kulingana na miundo mbinu uwezi kupeleka Semi trailer uko ndani ndani itakwama, Magari makubwa Yana park pale na kunakuwa na matrector ya kutoa kule mashambani na kusogeza pale.
Kuhusu miundo mbinu ya Barabara, kwakweli Barabara ni nzuri tu kama unatokea mikoa mingine kufika Mpanda mjini. Kutoka mjini kuja wilaya ya Tanganyika Barabara ni rough road lakini inapitika vizuri hadi kufika kwenye hizo center.. Kama Kuna kitu nimesahau kujibu uliza. Asante sana.
 
KAKA UDONGO WA SEHEMU ULIYOLIMIA WEWE NI UDONGO WA RANGI GANI,NA JE! NI MFINYANZI,TIFUTIFU AU KICHANGA
 
Kiongozi shukran kwa mrejesho na hongera pia.
Swali langu nje kidogo ya mada.

Panya huko kwenu hawasumbui? na kama wanasumbua mnafanyaje kupambana nao?
Kwa mimi nilicho shuhudia ni kwamba panya hakuna labda wale panya wa kusumbua ndani tu lakini shambani sijaona ndugu yangu.Iko hivi sometime hata hichi kilimo unaweza kupakana na jirani kwake kuko salama lakini wewe unapigwa either panya,ndege nk.Ukiona hari iyo fikr nje box.Kilimo pia ni uchumi ina vita yake.
 
Hili lipo aisee...
Panya wamekua wanasumbua upande wangu tu wamekata mahindi yote nilorudishia lakini upande wa pili yanaota vizuri tu ....
Nimerudishia mpaka nimeona nisirudishie Tena kwa sasa.
Kila mtego unaoeka hawafi hata mmoja nyie .....🤣🙌
Maisha haya 🙌
 
Attachments

  • IMG-20231230-WA0035.jpg
    IMG-20231230-WA0035.jpg
    158.5 KB · Views: 65
Hili lipo aisee...
Panya wamekua wanasumbua upande wangu tu wamekata mahindi yote nilorudishia lakini upande wa pili yanaota vizuri tu ....
Nimerudishia mpaka nimeona nisirudishie Tena kwa sasa.
Kila mtego unaoeka hawafi hata mmoja nyie .....[emoji1787][emoji119]
Maisha haya [emoji119]
Ndio hivyo,vita ya uchumi ni ngumu.
 
Hili lipo aisee...
Panya wamekua wanasumbua upande wangu tu wamekata mahindi yote nilorudishia lakini upande wa pili yanaota vizuri tu ....
Nimerudishia mpaka nimeona nisirudishie Tena kwa sasa.
Kila mtego unaoeka hawafi hata mmoja nyie .....[emoji1787][emoji119]
Maisha haya [emoji119]
Mkuu kwanza nikuulize hayo mahindi ulipanda yakiwa na dawa? au ulipanda hizi mbegu za kienyeji? alafu kama vile umepanda kwa kuacha ma gape makubwa sana?
 
Kama nimeelewa vizuri kiongozi maswali Yako..
Kuyaweka dawa mahindi sikuyaweka na wao kazi yao ni kukata mara nyingi hawachimbui kabla haujaota...

Nimetumia Tembo seedco sc 719..
Hapana c za kienyeji....
Hapana kiongozi gape lilikua vizuri tu ila nikarudishia ,wakakata .....nikarudishia mara ya tatu wakakata Tena ......na upigaji tu wa picha ila sehemu zingine zipo vzr mfano (kabla ya kurudishia)....
 
Attachments

  • PXL_20231222_095446258.jpg
    PXL_20231222_095446258.jpg
    2.3 MB · Views: 56
Kama nimeelewa vizuri kiongozi maswali Yako..
Kuyaweka dawa mahindi sikuyaweka na wao kazi yao ni kukata mara nyingi hawachimbui kabla haujaota...

Nimetumia Tembo seedco sc 719..
Hapana c za kienyeji....
Hapana kiongozi gape lilikua vizuri tu ila nikarudishia ,wakakata .....nikarudishia mara ya tatu wakakata Tena ......na upigaji tu wa picha ila sehemu zingine zipo vzr mfano (kabla ya kurudishia)....
Pole sana mkuu,ilo ni janga lingine,next time jaribu kusafisha maeneo yanayokuzunguka kama kuna vichaka hakikisha una fyeka.Pia jitahidi kufyeka nyasi zilizo pembezoni mwa shamba lako.
Sometime kuchoma shamba sio vizuri,lakini ukishaona hali iyo ni lazima uchome kabla ya kuanza kulima ili kuteketeza mazalia ya panya kuzunguka shamba lako.Pia fanya utafiti wa kimya kimya kwa hao majirani wanaokuzunguka wako vipi au unaishi nao vp? nikisema hivyo nadhani utaelewa,je kuna bifu kati yao? je hayo mashamba yana mgogoro?.
Asante kama una swali lingine karibu.
 
SOMO ZURI SANA MKUU,UMETUMBUA MACHO KAKA,
VIPI MIUNDOMBINU YA BARABARA MVUA ZIKINYESHA KIPINDI CHA USAFIRISHAJI WA MAZAO KWA WAFANYA BIASHARA KUTOA MASHAMBANI KUPELEKA SENTA?
 
Kaka ubarikiwe,kwa hongera kwa kupambana,mwenyez mungu akufanyie wepesi kwenye njia zako,
Nataka kuuliza kwamba JE KILIMO CHA VITUNGUU MAJI HUKO WANALIMA????
 
SOMO ZURI SANA MKUU,UMETUMBUA MACHO KAKA,
VIPI MIUNDOMBINU YA BARABARA MVUA ZIKINYESHA KIPINDI CHA USAFIRISHAJI WA MAZAO KWA WAFANYA BIASHARA KUTOA MASHAMBANI KUPELEKA SENTA?
Kama mvua zikikatka trector zinaingia tu.
 
Back
Top Bottom