Mrejesho: Safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

Wakuu mnafanyaje huko lubalisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilikuweko mwezi wa tatu mimi
Ahaaa JF ndogo sana tumepishana mkuu.....nilienda mwez wa Saba mwaka jana mwaka huuu ntaenda tena ahaaa ukiwa LUBALISI kule unahisi huku hakuna watu wengine ambao wanaweza kupaju ahaaaaa ulikuwa sehemu Gani pale
 
Mkuu huko wanaume ndio tunaingia, tunakomaa miezi yetu mitano msimu ukiisha tunarudi mjini na mitaji ya maana kuja kuwekaza. Muhimu ni afya njema na uhai hayo mengine si muhimu ata yakitupita, muhimu ni kupambana mpaka hatua ya mwisho katika hali yoyote ile. Mwanaume huwezi kwenda sehemu kupambana uanze kulia lia kwa sababu ndogo kama mtandao, wanao lilia mtandao ni wanawake na mabishoo. Mwanaume ni unakaza popote pale
Huko nyokoooo mkuuu mtandao wa simu kisanga sanaa
 
Mkuu huko wanaume ndio tunaingia, tunakomaa miezi yetu mitano msimu ukiisha tunarudi mjini na mitaji ya maana kuja kuwekaza. Muhimu ni afya njema na uhai hayo mengine si muhimu ata yakitupita, muhimu ni kupambana mpaka hatua ya mwisho katika hali yoyote ile. Mwanaume huwezi kwenda sehemu kupambana uanze kulia lia kwa sababu ndogo kama mtandao, wanao lilia mtandao ni wanawake na mabishoo. Mwanaume ni unakaza popote pale
I know nilikuwa huko mkuuu na kujua vyema .......siku nilikutana na mzeee wa kisukuma toka wilaya ya Tanganyika ngo'mbe zilipotea ameandikiwa barua utambulisho hajui kimeandikwa nin akajua Mimi mtendaji
 
Wakuu mnafanyaje huko lubalisi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilikuweko mwezi wa tatu mimi
Uko lubalizi sikuwai kufika ila kujamaa wa pale mwese alinipokea, uyo jamaa mashamba yake yapo uko lubalizi wakati wa msimu wa kilimo akienda kupiga Kambi uko kufanya kilimo Yani hapatikani tena hadi yeye akutafute.Na mtandao anasema Hadi apande mlimani. Mwese inavituko, wachaga wa mwese na wenyewe ni walevi mno na wavuta bangi. Wenyeji ambao ni wabende na wao wamejitenga hasa wenyewe wako namba 3.Kwakweli Mwese ni vituko wachaga nao wamejitenga Wana mtaa wao unaitwa Kilimanjaro haya manyarwanda nao Wana mtaa wao. Lakini ukija Kwa upande wa utawala hakuna mnyarwanda aliepewa madaraka ya kiutawala hapo kijijini wao sana wananguvu upande wa Ufugaji na Wana chama Chao na Kiko Strong. Kila mfugaji unaeingia kijijini hapo lazima ujiandikishe kwenye chama Chao.
 
I know nilikuwa huko mkuuu na kujua vyema .......siku nilikutana na mzeee wa kisukuma toka wilaya ya Tanganyika ngo'mbe zilipotea ameandikiwa barua utambulisho hajui kimeandikwa nin akajua Mimi mtendaji
Hahahaha mkuu umenitonesha wakati Niko kule porini nimepiga sana ela za wasukuma yani unakuta amechezea simu na amefunga mtandao hapati mawasiliano anakuja kwangu utaskia vp bwana Ngosha na Mimi niambie bwana Ngosha maana walinizoea sana na walikuwa rafiki zangu sana. Utaskia simu yangu imeharibika bwana Ngosha naomba uiangalie. Kucheki unakuta amefunga mtandao, na Mimi kuzuga namwambia ebu iache utakuja badae nitatengeneza. Badae akirudi anakuta kitu inasoma anatoa 5000 anasepa,usimdharau msukuma wa maporini unaweza kumuona mchafu ananuka maziwa lakini anataembea na kibunda Cha ela mfukoni au anaela ndani za kutosha tu. Msukuma ni mtu poa sana hawanaga roho za unafiki kabisa kwenye utafutaji Yani mkiwa marafiki chochote ukitaka kwake atakupa. Na ukienda kufanya kilimo huko mwenyeji wako akawa msukuma Yani atakupa ushirikiano Kwa kiwango kikubwa hawanaga roho za kinyongo na unafiki.
 
Katavi!utashangaa mvua inanyesha tu kwenye mashamba yao.,sisi mashamba yetu jua kalii[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kama ni mkulima ambae bado unajitafuta na kutegema mvua,nakushauri njoo Katavi hadi Rukwa huko yani mvua sio za kubabaisha wala kuwa na mashaka.Ukiona mikoa mingine mvua zimekuwa za shida mwaka huo basi kwa mkulima wa katavi kwake ni neema kubwa kwani uwezo wa kuivisha mazao upo.Yani katavi bado ina mapori ya kutosha hususani iyo wilaya ya Tanganyika yani mvua sio za kitoto zikipiga hazina masihara,kikubwa kambini hakikisha una dagaa za kutosha,maharage mahindi ya kutosha na pia umefunga Solar panel yako kupata mwanga na kuchaji simu yani mbona maisha ya porini ni bata tu ukijikubali? Hahahahaha maana unaweza kukaa hata na milioni ndani na haujui utaifanyia nini hakuna starehe yoyote uko zaidi ya kusikia sauti za ndege na aina za ndege na sauti za wadudu.
 
Hatari
Uwe na Hela tu ya kutosha Ili uwe inaisimamia tu.

Ila huu Uzi mrefu sijamaliza nimeshindwa,[emoji119]
Hahahahaha uzi wangu sio mrefu bwana,sema threds za kilimo wewe hauko interested tu.Mimi hakuna threds za kilimo itapita mbele yangu nikaiyacha lazima nifatilie,na hili jukwaa ukiona mtu anachangia tambua anapenda kilimo au issues za kilimo hapa wale wazee wa Kula tunda kimasihara hauta waona huku.
 
Mkuu huko wanaume ndio tunaingia, tunakomaa miezi yetu mitano msimu ukiisha tunarudi mjini na mitaji ya maana kuja kuwekaza. Muhimu ni afya njema na uhai hayo mengine si muhimu ata yakitupita, muhimu ni kupambana mpaka hatua ya mwisho katika hali yoyote ile. Mwanaume huwezi kwenda sehemu kupambana uanze kulia lia kwa sababu ndogo kama mtandao, wanao lilia mtandao ni wanawake na mabishoo. Mwanaume ni unakaza popote pale
Nakubali [emoji1548]
 
Hahahahaha uzi wangu sio mrefu bwana,sema threds za kilimo wewe hauko interested tu.Mimi hakuna threds za kilimo itapita mbele yangu nikaiyacha lazima nifatilie,na hili jukwaa ukiona mtu anachangia tambua anapenda kilimo au issues za kilimo hapa wale wazee wa Kula tunda kimasihara hauta waona huku.
😅Nimesoma kwa vipande ni mrefu, sio kwamba sipendi kilimo mkuu!
sijui umeungwa!
Anyway ni kweli tumetofautiana!.
Mi Kuna kilimo nataka Cha ndizi mzuzu!
Nataka nifunze kwanza kabla ya kuingia huko .

Wajuzi wa mambo naombeni abc zake
 
Uko lubalizi sikuwai kufika ila kujamaa wa pale mwese alinipokea, uyo jamaa mashamba yake yapo uko lubalizi wakati wa msimu wa kilimo akienda kupiga Kambi uko kufanya kilimo Yani hapatikani tena hadi yeye akutafute.Na mtandao anasema Hadi apande mlimani. Mwese inavituko, wachaga wa mwese na wenyewe ni walevi mno na wavuta bangi. Wenyeji ambao ni wabende na wao wamejitenga hasa wenyewe wako namba 3.Kwakweli Mwese ni vituko wachaga nao wamejitenga Wana mtaa wao unaitwa Kilimanjaro haya manyarwanda nao Wana mtaa wao. Lakini ukija Kwa upande wa utawala hakuna mnyarwanda aliepewa madaraka ya kiutawala hapo kijijini wao sana wananguvu upande wa Ufugaji na Wana chama Chao na Kiko Strong. Kila mfugaji unaeingia kijijini hapo lazima ujiandikishe kwenye chama Chao.
Kule lubalis mtandao Hadi uende uwanja wa shule ya msingi lubalis pale una patikana kama una tumia tigo .....Kwa voda kwenye maduka ya pale kijijin una patikana mtu akizama kule kipatikana kwake Kwa manati sana usiku unaona simu zina Waka watu nyomi wake uwanjani .......ila kule mbali ***** nimekutana na nguzo za tanesco wame chimbia nikasema kweli shirika linafanya kazi kufika huko one day shule LUBALISI mkuuu kuzur sana haswa center shuleni
 
Uko lubalizi sikuwai kufika ila kujamaa wa pale mwese alinipokea, uyo jamaa mashamba yake yapo uko lubalizi wakati wa msimu wa kilimo akienda kupiga Kambi uko kufanya kilimo Yani hapatikani tena hadi yeye akutafute.Na mtandao anasema Hadi apande mlimani. Mwese inavituko, wachaga wa mwese na wenyewe ni walevi mno na wavuta bangi. Wenyeji ambao ni wabende na wao wamejitenga hasa wenyewe wako namba 3.Kwakweli Mwese ni vituko wachaga nao wamejitenga Wana mtaa wao unaitwa Kilimanjaro haya manyarwanda nao Wana mtaa wao. Lakini ukija Kwa upande wa utawala hakuna mnyarwanda aliepewa madaraka ya kiutawala hapo kijijini wao sana wananguvu upande wa Ufugaji na Wana chama Chao na Kiko Strong. Kila mfugaji unaeingia kijijini hapo lazima ujiandikishe kwenye chama Chao.
Warundi watata siku tuna karbia mwese namba 3 ......muha aiimzngua mrudi alimkanyaga AKa mwambia wew mkimbizi walitukanana balaaa
 
Uko lubalizi sikuwai kufika ila kujamaa wa pale mwese alinipokea, uyo jamaa mashamba yake yapo uko lubalizi wakati wa msimu wa kilimo akienda kupiga Kambi uko kufanya kilimo Yani hapatikani tena hadi yeye akutafute.Na mtandao anasema Hadi apande mlimani. Mwese inavituko, wachaga wa mwese na wenyewe ni walevi mno na wavuta bangi. Wenyeji ambao ni wabende na wao wamejitenga hasa wenyewe wako namba 3.Kwakweli Mwese ni vituko wachaga nao wamejitenga Wana mtaa wao unaitwa Kilimanjaro haya manyarwanda nao Wana mtaa wao. Lakini ukija Kwa upande wa utawala hakuna mnyarwanda aliepewa madaraka ya kiutawala hapo kijijini wao sana wananguvu upande wa Ufugaji na Wana chama Chao na Kiko Strong. Kila mfugaji unaeingia kijijini hapo lazima ujiandikishe kwenye chama Chao.
Pale Kuna wakala wa tigo na hiace zinapo anzia mazao yapo mwese namba 4 hapo Kwa wachaga?
 
Back
Top Bottom