Jifunafu
Senior Member
- May 25, 2020
- 182
- 693
- Thread starter
- #201
Vitunguu sijaona labda vijiji vingine huko,lakini ukiamua unalima tu,labda soko pakuuzia.Kaka ubarikiwe,kwa hongera kwa kupambana,mwenyez mungu akufanyie wepesi kwenye njia zako,
Nataka kuuliza kwamba JE KILIMO CHA VITUNGUU MAJI HUKO WANALIMA????