MREJESHO: Simuelewi mume wangu

Na kweli ngoja tu nichepuke maana hamna namna majibu yake yenyewe ya kisanii Kuna wakati nawaza labda kalogwa
Hiyo siyo solution ya kudumu...Cha zaidi hapo ni kuleta matatizo ndani ya familia..mtaleta magonjwa plus magovi ambayo baadae hayana mwisho mwema..mtatesa watoto wasio na hatia...

Mimi ningeshauri tafuteni watu wazima mnaowaamini mjadili na mtafute utatuzi wa kudumu...au nendeni sehemu zenu za kuabudu viongozi wa Dini Wawasaidie kutafuta suluhu ya kudumu....

Kuchepuka siyo suluhu ya matatizo ndani ya ndoa. Amina nakwambia, ushauri huu utakuja kuukumbuka kama utaona kuchepuka ni suluhu ya matatizo ndani ya ndoa.
 
Mmmh haya mambo!!
 
Sasa hapo ni kujuana tu vzr kwamba mwenzangu yupo hivi.
Mapungufu yapo lakini unapima mizani, kama mazuri ni mengi kuliko mabaya na hayo mabaya yanavumilika basi maisha yanasonga.
Ni swala zuri sana kuzingatia ila waelewa ni wachache.
 
Na kweli ngoja tu nichepuke maana hamna namna majibu yake yenyewe ya kisanii Kuna wakati nawaza labda kalogwa

Usitufanye tukaamini kwamba Kona zote zile hapa ndio ilikua mwisho wa mwendo.

Nimekushauru umwambie akuonyeshe hizo dozi za kupunguza uzito, akwambie ameanza kutumia lini na anatarajia kumaliza lini?
Jichanganye uchepuke, ukibainika huu mzigo wote utakuelemea na jamii kukuona wewe ndio mkosaji bila ya kuangalia umevumilia kiasi Gani.
 
Ofcourse you are very right, uzuri muuni akipenda huwa hataki kukipoteza apendacho. Kuna kila sababu ya kufight for love and peace. Ila kama inageuzwa ndio jukumu lako kutafta harmony kila wakati inaboa.

Wote tuhitajiane na tuonyeshe hilo kwa vitendo sio kwa maneno, kama namna penzi jipya linavyoanzaga na kukolea. Shida sijui inakuwaga nini yani 😂😂😂 mara mama anaanza kuweka raiba za kuliwa.
 
Kwa kweli wanaowekeana ratiba za kulana bado sijawaelewa.
Wakati mwingine mmegombana lakini unamuhitaji mwenzako...

Ingawa pia yqpo mambo ambayo yanasabababisha usiwe na hamu na mwenzako lakini huwa ni kwa muda mfupi, ukiona hali kama hiyo inaendelea basi kuna tatizo kubwa.

Na msipoliongelea hilo suala basi matokeo yake ni mabaya sana huko mbeleni.

Ni afadhali achepuke kwa tamaa zake lakini sio kwa kunyimwa tendo. Tena bila sababu ya msingi.
 
Vipi matumizi ya mdomo wako, uko vizuri au unaropokwa tu? Mi nahisi kuna kitu alikuwa anakilalamikia huyo bwana ila ukawa unakipuuza.

Mtu hawezi ghafla kukupotezea tu.
Jaman Kama angekuwa ashawahi kulalamika chochote ningekuwa tayar nina majibu nisingekuja kuomba ushauri huku
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sasa kuropokwaa mwanamke si kawaidaa mwanaume rijalii mwanamke hata aropokwe siku nzima usiku akilowaaa unawekaaa vya kutoshaa
Bora umenisaidia kumuelewesha maana haelew Kama huyu kazid na Kama tungekuwa na ugomvi pia ningesema ili mjue mnanishaurije coz nahitaji msaada ndani hatuna ugomvi tunaelewana vizur sana tunacheka Hadi story tunapiga na wakati mwingne had tunakumbatiana ucku sasa huon ipo shda huyu tu ana mambo yake ya kichawi nahisi
 
itakuwa nguvu ni shidaa labda na wew kama hakufikishi huwa unalalamika.
 
Mpo vizuri wakuu, sisi wengine engine ikisumbuliwa kidogo tu tunaweka hizo mambo pending kwanza hadi tukae sawa..
 
Nakula nashiba ndo Nini kwani kwetu kulikuwa hamna vyakula kwetu nimeacha kila ktu huku kwenye ndoa nmefata kimoja tu hizo ela zake hata kwetu zipo
 
Yupo mtu ambaye kwa akili zake anaona kumnyima mapenzi partner wake kila wakizinguana ni kumkomesha hivi.
 
Ngoja arud nimwambie anioneshe maana nimetafuta nyumba nzima sijaona dawa zozote zile nahisi hapa Kuna kausanii kanaendelea
 
Tumia udhaifu kupata majibu ya changamoto yako

Last time ulisema ulipotaka kuondoka alikuzuia na kukubembeleza mpaka ukaamini kweli mambo yataenda Sawa

Tumia mbinu Ile Ile na umwambie kuwa hamuwezi kuishi kama Kaka na dada na hivyo itabidi uindoke Tu,naamini huenda akafunguka

Lkn pili mtumie Yule mtu mzima wa awali aliingilie tena Kati naamini ana Busara Sana huenda akasaidia kitu Fulani hapo
 
Mambo yanayoweza kumfanya mwenza wako kupoteza mvuto nawe
1. Uchafu wa mwili Hadi chumba
2. Kutonyoa
3. Kauli
4. Mabadiliko ya mwili
5. Kukosekana kwa ubunifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…