Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Ni kweli fundi wangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli fundi wangu.
Hiyo siyo solution ya kudumu...Cha zaidi hapo ni kuleta matatizo ndani ya familia..mtaleta magonjwa plus magovi ambayo baadae hayana mwisho mwema..mtatesa watoto wasio na hatia...Na kweli ngoja tu nichepuke maana hamna namna majibu yake yenyewe ya kisanii Kuna wakati nawaza labda kalogwa
Mmmh haya mambo!!Mkuu Umesahau hii ndio burudisho na Faraja pekee ya stress hasa Kwa sie wa daraja la chini?
Harufu au gubu/manenomaneo yasiyo na msingi vinakata sana hamu. Wakati mtoa hoja anamlaumu Mme wake, azingatie ushauri wako pia.
Mwisho, wanaume tunapenda respect , makelele yasiyo na msingi yanatutoa kwenye mstari. Hata kama amekosea, mweleze Kwa staha.
Ni swala zuri sana kuzingatia ila waelewa ni wachache.Sasa hapo ni kujuana tu vzr kwamba mwenzangu yupo hivi.
Mapungufu yapo lakini unapima mizani, kama mazuri ni mengi kuliko mabaya na hayo mabaya yanavumilika basi maisha yanasonga.
Na kweli ngoja tu nichepuke maana hamna namna majibu yake yenyewe ya kisanii Kuna wakati nawaza labda kalogwa
Ofcourse you are very right, uzuri muuni akipenda huwa hataki kukipoteza apendacho. Kuna kila sababu ya kufight for love and peace. Ila kama inageuzwa ndio jukumu lako kutafta harmony kila wakati inaboa.😅😅😅
Kunikeep nilimaanisha...
Awe ni mtu ambaye ananitaka, anataka niwepo na atafanya juhudi za kuweka sawa tatizo kama likitokea ili turudi normal.
Akipuuza na kujifanya hajali wakati yeye ndo kasababisha wiki mbili ni nyingi atasikia nipo Burundi.
Kwa kweli wanaowekeana ratiba za kulana bado sijawaelewa.Ofcourse you are very right, uzuri muuni akipenda huwa hataki kukipoteza apendacho. Kuna kila sababu ya kufight for love and peace. Ila kama inageuzwa ndio jukumu lako kutafta harmony kila wakati inaboa.
Wote tuhitajiane na tuonyeshe hilo kwa vitendo sio kwa maneno, kama namna penzi jipya linavyoanzaga na kukolea. Shida sijui inakuwaga nini yani 😂😂😂 mara mama anaanza kuweka raiba za kuliwa.
Kama unataka kuchepuka njoo uchepuke na mimi. Mchepuko Ndoige yaani unachepuka kama huchepukiNa kweli ngoja tu nichepuke maana hamna namna majibu yake yenyewe ya kisanii Kuna wakati nawaza labda kalogwa
Jaman Kama angekuwa ashawahi kulalamika chochote ningekuwa tayar nina majibu nisingekuja kuomba ushauri hukuVipi matumizi ya mdomo wako, uko vizuri au unaropokwa tu? Mi nahisi kuna kitu alikuwa anakilalamikia huyo bwana ila ukawa unakipuuza.
Mtu hawezi ghafla kukupotezea tu.
Bora umenisaidia kumuelewesha maana haelew Kama huyu kazid na Kama tungekuwa na ugomvi pia ningesema ili mjue mnanishaurije coz nahitaji msaada ndani hatuna ugomvi tunaelewana vizur sana tunacheka Hadi story tunapiga na wakati mwingne had tunakumbatiana ucku sasa huon ipo shda huyu tu ana mambo yake ya kichawi nahisi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]sasa kuropokwaa mwanamke si kawaidaa mwanaume rijalii mwanamke hata aropokwe siku nzima usiku akilowaaa unawekaaa vya kutoshaa
itakuwa nguvu ni shidaa labda na wew kama hakufikishi huwa unalalamika.Bora umenisaidia kumuelewesha maana haelew Kama huyu kazid na Kama tungekuwa na ugomvi pia ningesema ili mjue mnanishaurije coz nahitaji msaada ndani hatuna ugomvi tunaelewana vizur sana tunacheka Hadi story tunapiga na wakati mwingne had tunakumbatiana ucku sasa huon ipo shda huyu tu ana mambo yake ya kichawi nahisi
Mpo vizuri wakuu, sisi wengine engine ikisumbuliwa kidogo tu tunaweka hizo mambo pending kwanza hadi tukae sawa..Mhusika akinichefua, Hilo linawezekana japo ni Kwa muda.
Ila Kwa upande wangu, haujawahi kutokea nikawa na stress au mawazo au changamoto ya kunifanya nikashindwa kabisaa Hilo jambo. Nilishaweka wazi nilishindwa kama hajanivuruga, basi atangaze msiba in advance.
Hata niwe na madeni au tozo zimenikinbuza naelekea Burundi, njiani ntaomba tu kiburudisho
Nakula nashiba ndo Nini kwani kwetu kulikuwa hamna vyakula kwetu nimeacha kila ktu huku kwenye ndoa nmefata kimoja tu hizo ela zake hata kwetu zipoKwan ndoa ni tendo la ndoa tu?UNAKULA VIZURI,UNALALA VIZURI SHIDA IKO WAPI?!NAAMINI MANENO YA BIBLIA TUISHI NA WANAWAKE KWA AKILI ,ANGEKUWA ANAKUFANYA HALAFU NYUMBANI KUNA SHIDA SHIDA LABDA HAMLI VIZURI, WATOTO HAWASOMI ,HAWAPATI MAHITAJI YAO PIA UNGELALAMIKA NYIE NI VIUMBE WA AJABU SANA AISEEEE
Yupo mtu ambaye kwa akili zake anaona kumnyima mapenzi partner wake kila wakizinguana ni kumkomesha hivi.Kwa kweli wanaowekeana ratiba za kulana bado sijawaelewa.
Wakati mwingine mmegombana lakini unamuhitaji mwenzako...
Ingawa pia yqpo mambo ambayo yanasabababisha usiwe na hamu na mwenzako lakini huwa ni kwa muda mfupi, ukiona hali kama hiyo inaendelea basi kuna tatizo kubwa.
Na msipoliongelea hilo suala basi matokeo yake ni mabaya sana huko mbeleni.
Ni afadhali achepuke kwa tamaa zake lakini sio kwa kunyimwa tendo. Tena bila sababu ya msingi.
Kweli ni kumkomesha ila hatua atakayoichukua baada ya hapo kibao kitakugeukia utakomeshwa wewe zaidi na zaidi.Yupo mtu ambaye kwa akili zake anaona kumnyima mapenzi partner wake kila wakizinguana ni kumkomesha hivi.
Na ukizingatia mchawi "penenge" tu basi burudani kabisa 😂Kweli ni kumkomesha ila hatua atakayoichukua baada ya hapo kibao kitakugeukia utakomeshwa wewe zaidi na zaidi.
Ngoja arud nimwambie anioneshe maana nimetafuta nyumba nzima sijaona dawa zozote zile nahisi hapa Kuna kausanii kanaendeleaUsitufanye tukaamini kwamba Kona zote zile hapa ndio ilikua mwisho wa mwendo.
Nimekushauru umwambie akuonyeshe hizo dozi za kupunguza uzito, akwambie ameanza kutumia lini na anatarajia kumaliza lini?
Jichanganye uchepuke, ukibainika huu mzigo wote utakuelemea na jamii kukuona wewe ndio mkosaji bila ya kuangalia umevumilia kiasi Gani.
Tumia udhaifu kupata majibu ya changamoto yakoPoleni na majukumu, wiki kama mbili zimepita nilikuja kuomba ushauri kuwa mme wangu hataki tushiriki tendo la ndoa, nashukuru wote mlionishauri na kunitia moyo. Mungu awabariki sana.
Mrejesho upo hivi; baada ya kukaa naye chini kumuuliza shida ni nini ameishia kunijibu kuwa anatumia eti dozi ya kupunguza mwili akimaliza dozi mambo yatakuwa mazuri kama mwanzo.
Kiukweli bado sijaridhika na hili jibu, naona kama ni usanii vile. Hivi kuna dozi ya kupunguza mwili ambayo mtumiaji anakatazwa kufanya mapenzi na mke wake? Naona tu kama mapicha picha bado yanaendelea.
Naombeni mnisaidie, vipi kutakuwa na ukweli wowote kuhusu haya majibu yake?
Pia soma: USHAURI: Simuelewi mume wangu