MREJESHO: Simuelewi mume wangu

We dada unaonekana unapenda sana kutiwa. Imefikia hatua jamaa kachoka so anavuta pumzi.
 

Kwenye miti hakuna wajenzi.

Utakufa na ugwadu hivi hivi. Wape ma baharia wenye mahitaji ya mbususu wachakate.


Hakuna namna sasa!
 
Inawezekana unachosema ni kweli hata na Mimi Kuna wakati nawaza hivyo Ila Kama ni hivyo Mimi ni mke wake kwanini asinishirikishe ili tutatue tatizo kwa pamoja haoni sasa ukimya wake unanitesa mpaka nishapata msongo wa mawazo
Nenda naye taratibu kwa kumuonyesha upendo. Huenda anaogopa kumwambia kwa kuhofia kuachwa
 
Ebu nisaidie Kama unachosema ni kweli inaweza ikawa ni Kama magonjwa gani maana nawaza Kama ni ukimwi kwahiyo atanizungusha maisha yote au ni hivi vi magonjwa vya mda mfupi naomba nisaidie hapa kunipa mawazo akili yangu ishachoka
Usichoke akili bali badilisha fikra zako, muonyeshe upendo wa hali ya juu bila kuhitaji tendo la ndoa mpaka aone kuwa unampenda hata bila kuduu, hapo atafunguka
 
Nasikitika kukuambia kua mumewako kashapata mume wake🏃
 
Kwani ukiamua mpa mtu yoyote hata mm utapungukiwa nn
 
Hahaha nimecheka kweli eti yupo kwenye dozi ya kupunguza mwili wakati one of the "weight cut off" reason ni kufanya mapenzi mara kwa mara coz unaburn fats n callories kwa kiwango kikubwa. Kama kakupa sababu hii kweli kakuona boya, kakudanganya kwa uwongo unaojionea aibu wenyewe (uwongo mweupe)
Back on the topic.. Mpaka hapo solution unayo mwenyewe ndani ya moyo wako
 
Sio wote wanapungua wengine wanagain weight
 
Sio wote wanapungua wengine wanagain weight
In some aspects kwa wanawake inaongeza weight, ila kwa wanaume it leads to sex dyfunction. Kama jamaa yako ni kibonge mshauri aanze mazoezi mapema sweetheart, less otherwise awe anatumia sexual energy booster which are very harmful to health after a certain period of time of dozage.
 
Hakunaga booster ni ugonjwa tu wanajiwekea okay poa mwaya .

Kwanza dawa za kukosa nguvu za kiume ninazo ila kuwapa jamii forum siwezi hata mtu achwe potelea mbali kwanza hapendwi
 
Hakunaga booster ni ugonjwa tu wanajiwekea okay poa mwaya .

Kwanza dawa za kukosa nguvu za kiume ninazo ila kuwapa jamii forum siwezi hata mtu achwe potelea mbali kwanza hapendwi
Hahaha sasa si umsaidie miss chuga jamani ndio mumewe huyo!!
 
Labda Una tatizo la harufu
Jichunguze...
Watu wenye kinyaa hisia zao zinapotea haraka Sana Kama kuna kitu kuhusu usafi au harufu kinamkwaza.... otherwise labda ana stress kubwa ya hela...
Mke wako akiwa na harufu si unamwambia? Kukaa kimya unajenga ama unabomoa?
Angekua ameambiwa anaijua sababu sidhani kama angeleta haya malalamiko mara ya pili sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…