Mrejesho tena. Jiwe kwenye figo

Corluka Neven

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2017
Posts
317
Reaction score
358
Baaada ya kulikojoa miezi iliyopita
Nikaona haina haja kurudi hospital kufanya chekup kwasababu maumivu yalishaisha
Jana nikaenda kupima UTI.baaade nikakumbuka nicheki hali yangu ya Figo ikoje (Agakhan)
Majibu yamekuja kama hivi[emoji26][emoji26]
Bado yamebaki MAWE ma 4
Kubwa lenye 0.47 cm na mengine ya size ya kawaida[emoji36]
Niliambiwa yapo njiani kutoka kwenye Figo na kuelekea njia ya mkojo
Nizingatie maji kwa wingi na dawa[emoji36]
Mateso yanaanza upyaaaa japo sisikii chochote
Yalikua yanasubiri yakuee ndio yaanze kunisumbuaa
 
Chemsha majani ya mkokomanga changanya na mapera viganja vyako vinne kwenye Lita Moja Kisha kunywa mara tatu kwa siku inarahisika kuyakakata

Au tumia apple cider vinegar inasagasa

Kama imeshishindikana tumia juice ya aloe Vera pamoja na maji mengi.
 
Duuu ngoja nikajaribu
 
Kidney stones ni mateso
 
MREJESHO TENA
nimeenda kupima nimeambiwa yamebaki mawe ma wili
Dokta kasema mawili itakua umeyakojoa bila kujua cz ni madogo sana
Ushauri alionipa nikunywa maji kwa wingii ili niweze kuyatoa
Dawa alisema nisimeze niache kwanza(dawa siku meza tangu niambiwe yapo yamebaki).
Baada ya siku 30 nirudi tena hospital kufanya Atrasound.
 
Kweli kila mtu na fani yake ,hapo mimi sioni hata jiwe moja kwenye hiyo picha.
 
Fuata ushauri uliopewa yasipo toka nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia na kuyatoa hayo mawe yaliyobakia uguwa pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…