MREJESHO: Ulishawahi kusingiziwa ujauzito wakati wewe si muhusika? Je, ulifanyaje kukabiliana na hali hiyo?

Nimekusoma kaka, shukrani sana!!
 
Nina demu yupo kwao Shishibaby huko, unachopitoa ni kama mimi, huyu wangu siku tulivyomaliza kulana kula tunda akaniambia ni siku zangu za hatari je ikiingia itakuaje nikapotezea hiyo story.

Baada ya hapo akanichek miez 6 baadae nna mimba yako nikamwambia acha utani, akasusa eti sitakuambia lolote tena.

Mwaka mmoja baadae akanitafuta tuma matumizi ya mtoto anaumwa, nikatuma fedha fulani.

Nikasema nakuja kumuona mtoto akazima simu alivyosikia nipo mkoa alipo.

Nikakaa akaja kunitafuta last year mtoto yupo Nursery akanitumia picha picha pale, akasema tumalize tofaut zetu nk.
Ila nilinotisi yafutayo

1. Bado hataki nifike alipo nione mtoto
2. Anapenda nitoe matumiz ya mtoto kuliko kuniunganisha na mtoto
3. Kuna siku nimeforce niongee na mtoto, asee dogo hana adabu, ananijib ujinga na mama yake anacheka cheka tu
4. Wakati naongea nae dogo hakuwa excited kwamba for first time naongea na dady, nikawaza eidha amezoea na kulidhika na mama yake, au kabla ya kupewa simu aongee na mm alipewa signal ongea na mtu fulani (baba mkubwa, mdogo, baba as baba)

Napenda sna yule dogo awe wangu kama kweli koz nna story ndefu na mama yake, ila hayo mazingira yanafanya niogope kuonekana naforce kumiliki damu ya mtu.

Tuna miez 6 hadi sasa hatutafutani
 
Ujeuri wa huyo Mwanamke unaweza kua aliumia sana kwa wewe kumkataa mtoto ambaye,yeye anajua kua ni wako,

Solution ya kujua mtoto kama ni wako au sio wako ni DNA tu,

Hapa utapata kila aina ya majibu na ushauri ila ukweli utapatikana kwenye DNA tu.
 
Kataa Ndoa Wakipita Hapa Watatuvua Nguo Wanaume
Huyo Mwanamke hakua kwenye ndoa kwa mujibu wa mleta mada,yani hakua kamuoa,

So,hapo hakuna issue ya ndoa,team kataa ndoa wao hawataki tu ndoa ila wanakubali mahusiano bila ndoa.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ€£ We jamaa hii story yako mbona kama inahusiana na Family friend wetu fulani ilimtokea Miaka ya nyuma huko 2004-2008 kama sikosei ? Kwani unakaa Dodoma au uliwah kuish huku ?
 
Ahsante sana...

Kwa kweli hii jeuri nnayo iona sasa inanipa mashaka, nawaza labda huenda kwa sababu mwanzo mm ndo nlikua kauzu sasa anaona nmekua mpole kwahyo na yeye ananona ni muda wake wa kuvimba?
Huyo kama kaanza kuvimba sa hv ni pepo na inatakiwa ulikemee mapema.
Wenzie wanayafanyaga uzeeni (mume ukianza kuishiwa nguvu) baba upweke unakunyemelea,mkwanja umekata/unapata hela ya kula tu,kwenye πŸ›Œ hau+perform kma zamani,
 
Sikucheck, sitaki kwenda huko kwa sasa!!
Mi naona ni muhimu sana ukacheki ili ujue ukweli,ukishajua ukweli yawezekana mama kubadilika ikawa ni wewe umesababisha baada ya kutomzingatia(usiombe upendo uishe utajuta itahitaji mda kumrudisha kwenye hali yake).
Ukishajua mtoto ni wako anza kusettle mambo taratibu mtakaa sawa.
Sasa hivi hata ukijilazimisha kumlea hivohivo bado hutopata amani kwa maana ushakuwa na walakini,kazi kwako ufe mapema kwa stress ama upime uamue moja
 
Uliondoka na Zawadi zako au ulimuachia?
 
Eee bhana we mwanamke ana vitimbwi sana anaweza kukuchezea shele ajue una akili au hauna akijua una akili uwezekano wa kukuacha ni mkubwa

Kuna Binti Mmoja tuliburuzana sana, baadaye akaja kacha tu mawasiliano na mie nami nikaganda ck Moja nikamtafuta ilikuwa weekend nikamuuliza ratiba yake akasema anakwenda church nikamwambia twende kusalia town leo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ akajaa ghafla nikajisemea hapa lzm Kuna kitu.
Kweli safari ikaanza nikaenda kumpitia hao town chezea Arusha wewe, hehehe kufika nikampereka kantini alikula supu ya kuku Kwa karaha akainywipa yote nusu kuku daaah hakika aliniduwaza
Anyway muka unafika tukaenda loji hehehe ck hiyo nilipiga sarakasi acha mpaka najiulizaga nilikuwa mie au!?. Kesho yake akalazwa anatapiga balaa, akanipigia Kwa cm ya mama yake nikamuuliza una mimba?

Akaniluza imeingia lini ! Nikamwambia sijui akasema aka mie Sina mimba.

Nikawa nimesepa zangu mkoa mwingine wiki ya pili nikiwa mkoa mwingine naambiwa ninamimba nikamuuliza ya nani? Nikamwambia niambie wewe utakuwa unajua akasema ni yako kwani mlikuwa wangapi? Nikamwambia mie najua sikuwa peke yangu . Akahamaki nikamwambia Lea mimba ukijifungua tutajua ni mtoto wangu au siyo Kwa sababu mie natoaga kopi tu.

Akasema sawa tutaona . Akapotea kabisa mpaka nimtafute , akajifungua hakuwahi kunambia habari za mtoto na akaanza kuniunganisha Kwa rafiki yake mwingine

Nikajanjaruka

Hakika Hawa ke wanavitimbwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…