Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Amen!Kuzaliwa mwanaume ukakosa fikra ni kazi sana
Mungu tujalie wanaume akili pevu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen!Kuzaliwa mwanaume ukakosa fikra ni kazi sana
Mungu tujalie wanaume akili pevu
Ana mambo ya ajabu sana huyohata mimi nimestuka
tumpe ban ya wikiAna mambo ya ajabu sana huyo
Nyee zikishapanda kichwani sisi wanaume hatujali.Sema kuna umuhimu wa kujua family background kabla ya kufanya matusi. Kuna familia hazijaumbwa na haya kabisaaaa....shukuru Mungu alitembea na mchina, ingekua mbongo mwenzako ungesakiziwa hatari
Akavae nguo kwanz za skukuutumpe ban ya wiki
Nimekusoma kaka, shukrani sana!!Ndivyo ilivyo
Tuliojifanya nice guys tukabeba majukumu Huwa tunakutana na hii kitu!!
Ukimpa Binti ujauzito ukabeba dhamana atakuja kukuona Boya sana!ndivyo walivyo!
Wanawake wanapenda kuishi shida na sio mafanikio,mafanikio ni sumu kwao na hawawezi kuyaishi kabisa!!
Fuatilia madem wenye mishahara au kipato Cha kueleweka walivyo ndio utajua hujui!
Wanapenda utii unaotokana na mashaka na sio kuhakikishiwa maisha!!
Nineliona hilo!
PIGA CHINI MWAMBIE SIKUOI UTAOLEWA NA MWENYE MAONO NA WEWE TULEE MTOTO AKIKUA NAMCHUKUA ,AKIKUJATALIA WATOTO MWAMBIE WATOTO NI WA MUNGU BASI CHUKUE TUSITISHANE KISA MTOTO MIMJ SIO MGUMBA!!!
UKIWA RESPONSIBE KE WENGI NI WAJINGA SANA MKUU TRUST ME!
kesho kuchinja eeAkavae nguo kwanz za skukuu
Huyo Mwanamke hakua kwenye ndoa kwa mujibu wa mleta mada,yani hakua kamuoa,Kataa Ndoa Wakipita Hapa Watatuvua Nguo Wanaume
😀😀🤣 We jamaa hii story yako mbona kama inahusiana na Family friend wetu fulani ilimtokea Miaka ya nyuma huko 2004-2008 kama sikosei ? Kwani unakaa Dodoma au uliwah kuish huku ?Miaka ya ujanani nilishabambikiwa kibendi na kibinti ambacho tulikuwa tunasoma wote.
Kwa mikwara walikuja wajomba zake kabisa kudai fidia na kutaka nichukue jukumu la kulea.
Nafsi ilikataa maana mahesabu yalikuwa hayaniingii akilini ila ilibidi nikubali tu.
Ilikuwa full vituko. Demu ananiamsha saa 8 usiku kusema anatamani supu ya utumbo mara ubuyu wa pilipili.
Baada ya kujifungua nikajibeba na zawadi zangu nikamuone mtoto, nakutana na ndugu zake nje ya wodi.
Mama mkwe mtarajiwa ananisihi nikienda ndani nisihamaki maana watoto hubadilika ukubwani.
Sikuelewa anamaanisha nini mimi nikaingia tu.
Kufika ndani mtoto mchina pure kabisa. Japo kadogo lakini unakaona kabisa kuwa hapo hakuna mswahili. Demu full kilio baada ya kuniona.
Nilisepa zangu mdogo mdogo kuepusha shari.
Kumbe demu alitembea na mchina walienda club na wenzie (mmoja wapo ndio aliniambia) akaopolewa na danga la kichina la one night stand.
Na hapo ikawa ndio ukomo wa mahusiano yetu na pona yangu.
Ushauri kama umeamua kulea wewe lea tu ila usifosi mahusiano na huyo mwanamke maana ni wazi ana mawazo mbadala ya kuwa na wewe.
Huyo kama kaanza kuvimba sa hv ni pepo na inatakiwa ulikemee mapema.Ahsante sana...
Kwa kweli hii jeuri nnayo iona sasa inanipa mashaka, nawaza labda huenda kwa sababu mwanzo mm ndo nlikua kauzu sasa anaona nmekua mpole kwahyo na yeye ananona ni muda wake wa kuvimba?
Mmoja kati ya hao ni rafiki yangu, alikua anajipanga waende wakatoe mahali. Later dada akamwambia aliteleza kidogo mtoto sio wake ila yuko tayari kuolewa 😅Ndo yale yale...mtoto ana baba wanne 🧐🧐🧐
Mi naona ni muhimu sana ukacheki ili ujue ukweli,ukishajua ukweli yawezekana mama kubadilika ikawa ni wewe umesababisha baada ya kutomzingatia(usiombe upendo uishe utajuta itahitaji mda kumrudisha kwenye hali yake).Sikucheck, sitaki kwenda huko kwa sasa!!
Uliondoka na Zawadi zako au ulimuachia?Miaka ya ujanani nilishabambikiwa kibendi na kibinti ambacho tulikuwa tunasoma wote.