Nyani mtoto
Senior Member
- Sep 10, 2024
- 122
- 248
Kijana wangu ngoja nikushauri jambo, kazi ya kupenda ni ya mwanaume. Siku Nyingine usimuulize mwanamke swali kama hilo. Jambo lingine, kama unampenda, si nawewe uzae naye tuu kwani shida ni gani hapo? Kuna watu humu tumelelewa na wazazi wa kufikia na hakuna tatizo. Achana na mambo ya mtandaoni eti singo maza sijui nini. Anawezakuwa wife material ukapata raha duniani usiamini. Hivyo, jitathmini kama vipi weka ndani endelea na maisha.