Nyani mtoto
Senior Member
- Sep 10, 2024
- 122
- 248
Ndo huyu alikudanganya? Naona unajieleza sana. Hapo huchomoki. Singo maza keshakubananisha tayari. Kama unampenda oa acha drama. Hayanaga fomyula haya mambo!nilileta uzi hapa watu wakabisha kuwa nasema uwongo
Ahaha mwanaume wakisasa maranyingi wa haina hiyo ni wale wanaotegemea kulishwa na mwanamkeDah! Eti mwanaume unauliza "unanipenda au hunipendi"ππ€
Mwanaume ana rusha ndege aviatorDah! Eti mwanaume unauliza "unanipenda au hunipendi"ππ€
Mtego huu muache kijana wa watuKijana wangu ngoja nikushauri jambo, kazi ya kupenda ni ya mwanaume. Siku Nyingine usimuulize mwanamke swali kama hilo. Jambo lingine, kama unampenda, si nawewe uzae naye tuu kwani shida ni gani hapo? Kuna watu humu tumelelewa na wazazi wa kufikia na hakuna tatizo. Achana na mambo ya mtandaoni eti singo maza sijui nini. Anawezakuwa wife material ukapata raha duniani usiamini. Hivyo, jitathmini kama vipi weka ndani endelea na maisha.
Wote mlikutana wababe, hakuna future wala nini hapo.Kuna watu ni wagumu saana kuelewa wanadai kwamba kisa changu nilicholeta ni cha uwongo mrejesho na ushilahidi huu hapa
ππππFuata vile nafsi yako inataka, humu jf kila mtu ni mkubwa... watakuita mvulana, mtoto, ila haohao wapo wanabembeleza hadi na emoj za kulia
Nmeshangaa sana... Hawa madogo wa siku hizi chenga sana. Ndo maana future anaandika feature. Kichwani hamna kitu. Kakaa kaamua kujiandikia msg za ujinga kuja kujichoresha. Halafu mwanamke ana akili kuliko Atukuzwe. Ni mkubwa kuliko atukuzwe ambaye ni dogo na kilaza pia.Dah! Eti mwanaume unauliza "unanipenda au hunipendi"ππ€