Mrejesho: Upungufu wa nguvu za kike

Sounds like placebo effect. Anyway la msingi mambo yanaenda poa, La msingi tusirudi tulipokwama. Kila la kheri mkuu
 
Duuuuu sasa hivi umejaa mimaji, kwa lishe hiyo utakua unamwaga kama bomba..
 
Yaani wewe hata usinikumbushe ulivyokuwa unanitesa na vimaswali vyako tu, ushauri wenyewe hutoi ili mradi kunizingua. [emoji17] [emoji17]
Nilitaka nifike mwisho wa maswali ili nijue nakusaidia vipi umeona wapi daktari anatoa dawa bila kujua tatizo husika la mgonjwa?
 
Naomba uelekeze kipimo kwa mfano tende kiasi gani,mdalasini vijiko vingapi nk nk. Tafadhali Ntigy!
 
Naomba uelekeze kipimo kwa mfano tende kiasi gani,mdalasini vijiko vingapi nk nk. Tafadhali Ntigy!
Mdalasini kijiko kimoja cha chakula,asali vijiko viwili vya chakula,punje 10 za lozi, punje 10 za kitunguu saumu, punje 10 za tende,kitunguu maji 1 cha wastani,kipande cha tangawizi,robo ya kokwa la parachichi na maziwa vikombe 2 vya chai.
 
Kama hamu ya mapenzi imerudi vibaya mno umeshapata wa kukugegeda au nijisogeze karibu mimi?[emoji1]
 
Safi sana..sasa umepata wa kuzi balance hizo nguvu..make naona nipo idle kabisa..alafu sinaga gharama mimi..nakuja nimesha kula kabisa..
 
Aaah huu ubaguzi sasa walio kupa ushauri ni wengi lakn umetaja wachache tu,unakatisha tamaa member sio vizuri ungeweka neno la jumla sio kutaja majina hadharan kama Bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…