Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Mkuu hongera, Ila usisite kunisajili jamaa akizidiwa speed. Usipuuze haya ni MAONO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sanaYaani we acha tu,usiombe kukutwa na bwana pepsi! Niliamua kujilipua namna hiyo
Nilitaka nifike mwisho wa maswali ili nijue nakusaidia vipi umeona wapi daktari anatoa dawa bila kujua tatizo husika la mgonjwa?Yaani wewe hata usinikumbushe ulivyokuwa unanitesa na vimaswali vyako tu, ushauri wenyewe hutoi ili mradi kunizingua. [emoji17] [emoji17]
Mdalasini kijiko kimoja cha chakula,asali vijiko viwili vya chakula,punje 10 za lozi, punje 10 za kitunguu saumu, punje 10 za tende,kitunguu maji 1 cha wastani,kipande cha tangawizi,robo ya kokwa la parachichi na maziwa vikombe 2 vya chai.Naomba uelekeze kipimo kwa mfano tende kiasi gani,mdalasini vijiko vingapi nk nk. Tafadhali Ntigy!
Kama hamu ya mapenzi imerudi vibaya mno umeshapata wa kukugegeda au nijisogeze karibu mimi?[emoji1]Nina upungufu wa nguvu za kike, waungwana nisaidieni!
Habari! Wadau nawashukuru wote mlionipa ushauri kuhusiana na tatizo tajwa hapo juu. Ushauri wenu niliupokea na kuufanyia kazi kwa kadri nilivyoweza.Zifuatazo ni hatua nilizochukua katika kutatua tatizo:-
a)Kwa kuwa baadhi ya wadau waliniambia kuwa yamkini nina jini mahaba,hatua ya kwanza kabisa nilienda kuombewa lakini pia nilimwomba mwenyewe Mungu aniondolee na aniepushe na nguvu zozote za giza zinazosababasha hiyo hali.
b)Kufuatia maoni ya baadhi ya wadau kuwa inawezekana sipati muda wa kupumzika na nina msongo wa mawazo,niliamua kusimamisha shughuli zangu zote za utafutaji wa pesa (nimejipa likizo ya wiki 2) na kuhakikisha kuwa kichwa changu sikisumbui kwa mawazo ya aina yoyote ya kukiumiza,muda mwingi ninautumia kufanya yale ninayoyapenda hasa kusikiliza muziki.
c)Baadhi ya wadau walinishauri niangalie aina ya vyakula ninavyokula,nilijiwekea ratiba ya kula mchemsho wa pweza,ndizi na nyanya chungu kila siku.
d)Baadhi ya wadau walishauri ulaji wa vitu mbalimbali kama mdalasini/vitunguu/asali/tende n.k. Naam hapo ndipo paliponiumiza kichwa kwani baadhi ya vitu nilishavitumia huko nyuma lakini havikunipa matokeo chanya,vingine niliona vinahitaji nivitumie kwa muda mrefu zaidi na kwa mishe zangu nikaona sitaweza hivyo niliamua kufanya yafuatayo:-
Niliamua kutengeneza juisi yenye mchanganyiko huu; tende, lozi, mdalasini, zabibu kavu, kitunguu maji, kitunguu saumu,kokwa la parachichi, tangawizi, asali mbichi na maziwa fresh pasipo kutia hata tone la maji. Juisi hii nainywa kila siku asubuhi kabla ya kula chochote na usiku kabla ya kulala.
Wadau leo ni siku ya 5 tangu nichukue hizo hatua 4 za hapo juu naam, nguvu za kike zimerudi vibaya mno, hamu ya kufanya mapenzi ambayo ilipotea kwa miaka 3 imerudi. Wadau nawashukuru sana kwa ushauri wenu na kunitia moyo,hakika nimefurahi sana kwani nimeteseka kwa hii hali kwa muda mrefu.
Kwa namna ya pekee nawashukuru sana wadau hawa FaizaFoxy, luse, valuablecock, Kiyawi, Tarakilishi, Raphael wa Ureno, @Kulubhuke, Lovery, muggyen, Lady peace, manyusi, Ngozi Joram, Mentor, Sonko Jr. na wengineo wote mlioguswa na tatizo langu kwa namna moja ama nyingine.
Zitapotea tena..bora unite nije nizi hold..alafu nikupe na matechnics mengine..Hapatwi mtu hapa!