Sema nini wakuu?? Humu kinachowaponza ni mambo madogo madogo. Hasa haya:
1 KUTOKUWA NA SIRI.
2 KUDHANIA KILA MTU NI TAPELI.
Kuna watu nishawahi kuwapq offer ya madude ya kuvuta wateja dukani, hahaha wakadhani nataka kuwatapeli.
Mwingine anakuja pm anataka umsaidie jambo fulani, unampa ABC, akishaona tu ujumbe na kuusoma anaishia mitini, hakuna cha asante wala mrejesho.
Nishawahi kujitolea kuwapa wasichana dawa ya kuchoma dukani kuvuta wateja dukani and IT WORKS 100%, I don't know how and why it works but IT WORKS 100%.
Nikawaambia hii sio ya kuwauzia ila ni ya kuwaonesha, nikawaambia lazima usafiri uje huku niliko na usiwe umeolewa na sitaki malipo yoyote.
Juzi Kati kuna member alianzisha uzi akilia lia anahitaji msaada wa jambo fulani, nikakwambia njoo pm, kuna nikamuelekeza cha KUFANYA, Toka muda huo sijaona ujumbe wowote wa shukrani wala nini.
NYIE WATU MNAJIFANYA KUTAKA MSAADA LAKINI HAMSAIDIKI.
Tunaleta experience zetu bado mtu anasema ni TANGAZO la biashara.!!!!!!!! Kila mtu abaki na anachojua