Mrejesho wa connection za wataalam (waganga) wa kutoa UTAJIRI, ukimuona tajiri mpe heshima yake

Mrejesho wa connection za wataalam (waganga) wa kutoa UTAJIRI, ukimuona tajiri mpe heshima yake

Nicheki PM
Nakupa Namba ya mtaalamu.

Mashart yake ni
Kuna chupa atakupa ndani ya hilo chupa kuna jini au viumbe wanaokusaidia kukupa pesa hutakiwi kushika chupa hilo baada ya kufanya mapenzi

Kila alhamis na jumatano una fungua chupa na kuchoma ubani..

Aliwai nambia ipo ya nyoka. Ipo ya kuua ndugu zako, mama yako mkeo na mtoto wako.

Utawasiliana nae zaidi.

Alafu mrejesho utatoa hapa mbela ya uzi
hAPANA AISEE USIMPE BHANA BROE ATAMALIZA FAMILIA YETU MM NAYEYE NI NDUGU WADAM KABISA HAKAWII KUMUONDOA BMKUBWA
 
Nicheki PM
Nakupa Namba ya mtaalamu.

Mashart yake ni
Kuna chupa atakupa ndani ya hilo chupa kuna jini au viumbe wanaokusaidia kukupa pesa hutakiwi kushika chupa hilo baada ya kufanya mapenzi

Kila alhamis na jumatano una fungua chupa na kuchoma ubani..

Aliwai nambia ipo ya nyoka. Ipo ya kuua ndugu zako, mama yako mkeo na mtoto wako.

Utawasiliana nae zaidi.

Alafu mrejesho utatoa hapa mbela ya uzi
mkuu naomba unitumie namba pm ya huyo mtaalam ninashida kwakwel
 
Vipi ule wa punje za mkataba wa utajiri,Hivi kweli upo?
Huo uchawi upo mbele ya Ilula, kijiji kimoja kinaitwa Nigeria ndogo (jina lake la Aslil nimesahau), wapo wataalam wakinga hapo ni balaa ila ni wa kweli. Sema uchawi wa kikinga wengi hawautaki, una masharti zaidi ya magumu yaani. Nishafika huko kipindi najitafuta, acha mzee, maisha haya tushateseka sana, mtu akikukuta unajipata anatamani ila njia ni ngumu sana.
 
Binafsi sihitaji pesa ya mazingaombwe....ila nahitaji zindiko la kuzuia wizi wa mali zangu, au dawa ya kuwanasa wezi....kma kuna mtu mwenye connection ya uhakika yaani mtaalamu anayeweza kunisaidia kuzuia kuibiwa anisaidie
Mbona shida yako ndogo hivyo, bagamoyo tu unamaliza.
 
Mnakimbilia kwa waganga masharti mnayaweza unajua unaweza pata mganga mzuri tu ila unavyojieleza akakuona ww chenga akaamua akupige za kichwa ndipo unaona mganga tapeli na kiufupi watu wengi hawaziwezi gharama ndio maana unashauriwa tafuta hela au biashara ndipo utafute mganga akoleze biashara yako mbali na hapo mkono mtupu haulambwi
Hawa wanataka utajiri wa ndagu sio zindiko za kukuza biashara, ukijua tofauti huwezi andika huo upupu ulioandika.
 
Huo uchawi upo mbele ya Ilula, kijiji kimoja kinaitwa Nigeria ndogo (jina lake la Aslil nimesahau), wapo wataalam wakinga hapo ni balaa ila ni wa kweli. Sema uchawi wa kikinga wengi hawautaki, una masharti zaidi ya magumu yaani. Nishafika huko kipindi najitafuta, acha mzee, maisha haya tushateseka sana, mtu akikukuta unajipata anatamani ila njia
 
Back
Top Bottom