Mrejesho wa connection za wataalam (waganga) wa kutoa UTAJIRI, ukimuona tajiri mpe heshima yake

Hii ni kwel mkuu Mimi nimewapa wengi namba ya bibi wa dawa ya vidonda vya tumbo na matatizo ya kupata Mimba ajabu hawalet mrejesho hatakusema thanks jamani duh
 
Wewe hiyo connection ya mganga uliyonayo hukuitumia upate Hela? Kwa nini utake kupewa 20k, angali una connection za kiganga za kukusaidia upate hela nyingi, hiyo njaa ya kuomba 20k uliyonayo inadhihirisha hakuna lolote, utapeli tu!
Humu ndani kwenye hii ishu ya wataalam kunna matapeli sijapata kuona, 90% ni matapeli (,maqumanyoko)

hio 10% naachia ambao walinionyesha mwelekeo wa kweli.
 
usiyoyajua ni sawa na usiku wa Giza wewe unafanya kila biashara duniani yenye faida
Wewe hiyo connection ya mganga uliyonayo hukuitumia upate Hela? Kwa nini utake kupewa 20k, angali una connection za kiganga za kukusaidia upate hela nyingi, hiyo njaa ya kuomba 20k uliyonayo inadhihirisha hakuna lolote, utapeli tu!
Ukiona huna haja nyamaza na funga mdomo wako kama masikini wanajua kila biashara inafaida siwangefanya sasa unaongeleaje na unajua si kila mtu anaweza fuata masharti
 
Badala ya kuhangaika kutafuta njia za kutengeneza pesa. Wewe unahangaika kutafuta pesa kama ilivyo. Kitu ambacho hakiwezekani, hapo bila ya kujumlisha kwamba uchawi haupo.

Njoo baada ya miaka 10 uje kusoma comment yangu. Nakuhakikishia utakuwa masikini zaidi na mwenye shida zaidi ya sasa hivi.

Some days ago, nimeingia online nimekuta Technology imeendelea kiasi kwamba AI inaweza kugenerenate human like video sequences. Authentically real.

Naingia humu nakuta kuna watu wanaamini wanaweza kuingiza pesa unreasonably out of nowhere. Kweli Africa ipo nyuma ya dunia haki ya nani.
 
Hatari sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…