Mrejesho wa hisia zangu(My soulmate Vladmirovich Putin)

Nakuignore tu sheeenzi
 
Sijampa block hata namuheshimu sana sana ila aliniangusha sana yaani aiseee naweza kusema nlimpa attention na kumuweka sawa asijejiskie tofauti ila akanifanya mpaka nikampuyakia huwa sipendi mtu ajiskie mnyonge sababu ya pesa au elimu au maisha ila isiwe sababu ya kuwasema wengine vibaya
 
Wise woman.... hongera sana.
 
Tunakupenda bwana
Si unaona uzi unakimbia,ujue kuwa una mvutooo
 
Ngoja tumsubiri Vlad aje atie neno hapa
 
Nani huyo jamani?
 
[emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Putin usinicheke bana mimi nakuelea ila saa zingine unaniangusha sana unaelewa unaniangusha sana
 
Utasubiri sana mkuu mi siyo vlad,na Vlad mwenyewe haji Leo hapa.
Ah leo umekazia kwenye Account B mkuu, sasa nikushauri uwe na simu mbili ili uwe online sehem mbili kwa wakati mmoja au vp, maana hapo hadi ulogout Account B ndo urudi tena Account A uanze kutushushia povu kwanini hatukuamini etc etc
 
Sio wewe mkuu, Vlad yule mwinginee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…