Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Nakuignore tu sheeenziNimmkumbuka mtu mmoja anataka kuchat huku anasema wadada w jf mnajidai sana mpo juu kila mtu mwananume wake ana hela mna maisha mazuri sisi wengine hatuwawezi yet kila siku unachat nae unajitahidi kumuweka sawa asijiskie mnyonge ila anakuprovoke mpaka unaona hii sasa kero au analeta kaunafiki fulani hivi unataka mchat hata stori ila killa saa kusema wadada wa jf fyokofyoko mimi kama dada wa jf nitajiskiaje aaaaaa