Mrejesho wa hisia zangu(My soulmate Vladmirovich Putin)

Mrejesho wa hisia zangu(My soulmate Vladmirovich Putin)

Mimi huwa najiulizaga watu wanapendana vipi bila kuonana?

Jf hii ndio raha yake bwana!
Mkuu hebu shangaa na wewe, eti mtu hamjawahi kuonana, tena wote mnatumia IDs fake na avatar fake, halafu anasema ametokea kukupenda sana! Hayo si maajabu?

Mimi huwa nacheka sana nikisoma "threads" kama hizo, lakini ndiyo raha ya hii Jamii Forums, kuna vituko vingi sana.
 
Kwa hiyo kuna kundi la Watu linataka kukunyamazisha?

Basi nilipitwa!
Ila umeongea point moja ambayo kama pande zote mbili itazingatia kutwa hamna marumbano
"Kujali yako JF!"
Unafikiri hicho kikombe ulikishinda??
Yaan ukweli nikwamba kuna watu wanataka niandike vile wanavyopenda wao yaan mambo matam matamu kwao !!

Yaaaah kila mtu ajali yake yajF mchezo kwisha.

Form four nilipata A ya Maths , bila kutaja A level, kama kikombe cha pepa la form 4 nilipata A , sembuse nyimbo za wasanii humu??

After all nina limoyo fulani gumu gumu la chumaaa yaan limoyo ambalo huwa siruhusu mtu mwingine anipe tabu.

Ili mradi nakujua, unanijua aaahhh tutaumbuana mwanzo mwisho bila kubakisha kitu.

Nadhan hakikua kikombe maana sikuona kitu!!.
 
Mkuu hebu shangaa na wewe, eti mtu hamjawahi kuonana, tena wote mnatumia IDs fake na avatar fake, halafu anasema ametokea kukupenda sana! Hayo si maajabu?

Mimi huwa nacheka sana nikisoma "threads" kama hizo, lakini ndiyo raha ya hii Jamii Forums, kuna vituko vingi sana.
Kuna wengine wanajuana Mkuu
 
so kajiandikia!
AHAHAHHAHAHA JF haijawahi KUBORE!
miaka nenda miaka rudi!
Mkuu hivi ndivyo vituko vya JF, unakuta kuna "member" wanamiliki IDs zaidi ya moja(multiple IDs), tena ukichukulia zote ni IDs fake, basi inakuwa rahisi sana kwa mtu kujiandikia "uzi" ili kutafuta "kiki" kama wanavyosema wenyewe.

Lakini yote heri tu, maana tupo humu kujifunza na kufurahi pia, ndiyo raha ya kuwa JF hiyo.
 
Back
Top Bottom