hahaha umezaliwa katika familia ya Chini sana, Ugumu wa Maisha ukakufundisha Kuyatafuta maisha ungali namiaka 9 tayar unawaza Utakula nn, utavaa nn, na kulala vipi....KIJANA STUKA.
Mbali na Shida na tabu ulizopitia, Wazazi wako hawakubaki Nyuma ,Wakakupigania sanaaa ,umesoma na umepata kazi nzuri pengine hujasoma lkn wazazi kukupa nguvu hatimaye umekua Boss....KIJANA STUKA.
Hapa mjini ,Unajulikana kila Kiwanja starehe na kumbi zote za Starehe hahaha wanakuita 'The Don' wengine papaa hahahaha MASIFA NAWW, WEE NA MASIFA , Daily Pombe na Madems tuu hahahah .....KIJANA STUKA.
katika kupiga story na wanao uku mkipata Pombe unawambie ""Aiseee Mimi nikifa mnizike kwangu au Shamban kwangu au Makaburi ya Kinondon haahahahah MSIKAE KUNISAFIRISHA KUNIZIKA KWETU ,sawa wakuuuu tunyweeeeee .......KIJANA STUKA ,SISI TUTAKUZIKA KWENU UTAKE USITAKE.[emoji23]
Bahati mbaya Hata Dems zako Hujawah wapeleke kwenu, sio sababu hawataki bali wamesha kulazimisha sanaaa lakini unawambia ," Unataka Maisha au unataka nyumban kwetu" hahahah KIJANA STUKA.
KUMBE MBWEMBWE ZOOOOTE IZO HUTAKI MARAFIKI/JAMAA/NA MADEMZ ZAKO WAPAJUE KWENU SABABU TU ,NYUMBA ULOZALIWA NDIO HIOHIO MPAKA LEO HIII, SABABU TU KWENU MAZINGIRA NI YA OVYOOVYO MPAKA LEO HIII[emoji23]....Mjinga mmoja weee , Unapowaza unajisemea "aaahhh Nijenge wakati wazazi wameshazeeeka karibu wajifie hahhah" mjinga mmoja weee, ... Kwa taarifa yako ,Wazazi hawatokaa wakuombe uwajengee nyumba, Kwakua wanajua siku zao zimeisha, Ila wanachokuhakikishia NI BONGEEE LA AIBUUUU ,AIBU UTAKAYOIPATA WAKATI AMBAO MWILI NA ROHO YAKO VIMEACHANA.
Mshikaji wako wa damu atasikika akisemaaa " Huyu jamaaa kweli alikua Fwalaaaa ,yaaan mipesa yote hiyo, nyumbani ni sifuriiiii[emoji23]
Jamaaa mlokua mnakopeshana pesaa atasema " Kujisifia koteeeee hapa mjini kumbe nyumban kwao hamna kitu ,jamaaa ovyoo sana!![emoji23][emoji23]
Yule demu ulomuona ni mama yako atalia akisema " Hiii hiiii hiiiiiii Baby umeondoka pumzika salama ila asante kwa kunijengea nyumba na kunipa biashara/kunitafutia kazi lakini Nmeshangaa kwann Hukuwah kujenga kwenu[emoji23][emoji23][emoji23].
Wale madems wa Night stands ....kila mmoja kwa wakati wake .." hiiiii hiiiiii tangulia ila jamaa weeee kifo kimejua kukuumbuaa yaan mbwembwe zootee ,wazazi wanaishi maisha ya ovyooo nyumba ya kifwalaaa fwalaaa hahahahahahh( ndo utajua Madecent Girlz walivyo[emoji23]...KIJANA STUKA.
Umeoa mwanamke wako mkiwa nashida, umepata mafanikio, Unamtelekeza kisa MICHEPUKO hahahahaha Mjinga mkubwa wewe ...na Upukutishwe Pesaaa weeee ili siku Utakayokufa, Mchepuko aje ajionee hali halisi ya kwenu na mbwembwe zako[emoji23][emoji23][emoji23].
Mjinga we et unasema unamajukumu mengiii hata ushindwe kujenga kwenu, ili hali UNAHONGA HOVYOHOVYO ,kuna kadems umekasomesha weeee nabado kakaja kukupiga chini [emoji23][emoji23][emoji23] JINGA JINGA JINGAAAAAAAAA.
Sikieni ,Aseeee Jengeni kwenu,,, nasema jengeni kwenu, Unless umetokea ktk familia ilosimama, Lkn kwa hali halisi ya Utanzania wetu huuu???? Yapaswa kujua "Kuzaliwa mtoto wakiume au wakwanza wakiume au wakiume alofanikiwa nisawa na kua Makamo wa wazazi wako ".......
JENGENI KWENU, SIKU MKIFA SISI TUTAWAZIKA KWENU MTAKE MSITAKE ,NANDIO SIKU UPENDO WETU WA DHATI UTADHIHIRIKA KWENU KWAKUA TUTAWASEMA ,TUAWACHEKA KWELIKWELI NA KWA UWAZI [emoji23][emoji23][emoji23].AAAAAAAAHHHHH
......NASEMA IVI JENGENI KWENU [emoji23] ACHEN MBWEMBWE NA MISIFA YA KUITWA THE DON KUMBE NYUMBAN WAZAZI WAKO HOIIIIIIIIIIII.
pongezi kwa WACHAGA ... Najua mnazikwa kwenu sababu mlijenga mapema kwenu ingawa wapo wapuuzi wasojielewa .... PONGEZI ZA KINAFIKI kwa WAHAYA kwakua ni watu wa masifaaaaaa lakin Kwao WAZAZI WANALALIA NYASI NA MAJANI YA MIGOMBA.......Wazazi funza zinawatoka vidoleni haahhahahauau.
Mchana mwema mazeee!!