Mrejesho wa hisia zangu(My soulmate Vladmirovich Putin)

Kuna mmoja n ilimpata hapa.. kabla ya kuonana akaona asome koment na nyuzi zangu kwanza. Aisee alinihukumu kwa mambo ambayo sio kabisa na kuniona mtu wa ajabu sana. Nilijalibu kumwambia hii ni jf ni sehem yenye mambo mengi lakini hakunielewa. Naomba Mungu asome hii ya kwako labda ataelewa kiasi
 
Bila shaka akisoma ataelewa,maana umzaniavyo mtu kupitia nyuzi na comment kumbe sivyo alivyo ktk maisha ya kawaida,afu Mtu hata akiwa ndivyo alivyo,upendo unaweza mbadilisha 95%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…