Mrejesho wa hisia zangu(My soulmate Vladmirovich Putin)

Mrejesho wa hisia zangu(My soulmate Vladmirovich Putin)

African princess

Senior Member
Joined
May 15, 2018
Posts
110
Reaction score
189
Natumai mu wazima wa afya,kwanza namshukuru Mungu kwa uzima na afya,namshukuru pia kwa kunipatia vlad, wengi mlinibeza na kutoa maneno makali lakini nashukuru pia kwa mlioniunga mkono juu ya kuweka wazi hisia zangu,nimempata aliye sahihi kwangu chaguo la moyo wangu,Mtu ambaye nilikuwa naomba kila Siku nimpate mwanaume mwenye hofu ya Mungu,msikivu,mwenye kujali,na anayejua mwanamke wake anapenda nn, japo hapa wengi mtabeza kwakuwa mshamzoea Vlad in Mtu wa kuponda na anayeonekana tofauti ni hivi ukimpenda Mtu mtazame yeye kama yeye mjue kiundani sio kwa comment zake wala kwa nyuzi zake za Jf,bali kwa matendo yake unayoyaona,nakupenda Vlad wangu mapenzi makubwa unanionyesha, zawadi pekee ni kuendelea kukupenda,kukujali na kukuheshimu,kuwa proud kokote coz am all yours!!najua ushawahi kuwa na mahusiano kabla hujakutana nami,pengine hukupata chaguo sahihi,Mimi ndo chaguo lako sahihi wacha wakatae,wapinge ndo ishakuwa hakuna namna,wasiopenda watapata tabu sana....................................................Najua upo na utasoma ujumbe wako huu love you my putin(mshkaji wangu,rafiki yangu,mtunza vyangu visiri mwenye kunisitiri,fundi mitambo wangu[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] NB;Usidharau sauti yako,usidharau hata wazo lako unaloliona ni la kipuuzi,tena kwakuwa ni la kipuuzi huenda wengi hawafikirii kulifanya hiyo ni faida simama nalo,tunawaza makubwa sana ama Yale ambayo tayari yamesha fanikisha wengine,kama sauti yako inakusukuma kufanya jambo hata kama halijawahi kufanywa ama limefanywa na yeyote lifanye kuna kitu ndani yake, dunia inabadilika kila iitwapo Leo,na mahitaji yetu yanabadilika kutokana na mazingira ,usisubiri watu wagundue ndo ufate "KUWA WA KWANZA WAKUFATE" hebu niambie in wazo gani uliwahi kuwa nalo likadharauliwana sasa imekuwa ni kitu kinacho kupigisha hatua au kitu kikubwa kwenye maisha yako!??? Mlopita wake wenza mtaniwia radhi pengine hamkujua thamani yake mm African princess naijua............Nawasilisha. Mrs Vlad.
 
Back
Top Bottom